Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
- Thread starter
- #81
Ndo ukweli wenyewe mkuu.Hapa umetupiga ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ukweli wenyewe mkuu.Hapa umetupiga ndugu
Dah! Kwenye goroli panasikitisha sana Sana,
Mkuu hii movie inakufunza maisha real.. katika maisha hata wewe huwezi kubaki tu nyumbani bila kufanya kazi mahitaji yako utayatimiza vipi..?Hiyo scene ilinisikitisha sana kuliko scenes zote,
Walivyochaguana partners wakijua ndio kusaidiana kumbe ndio ilikua mbaya zaidi kwao maana bora wangekua mbali mbali,
Yule mtu na mkewe daah mwanamke akafa,
Ali alikufa kwa ujinga wake tu me hata sikumuonea huruma, game ya kufa na kupona bado unadanganyika kizembe vile,
Yule jamaa alivyokua anamdhulumu yule mzee huku roho inamuuma, mzee kumbukumbu zilikua zinapotea (ingawa alikua anajifanyisha)
Wale wadada wawili ambapo mmoja ilibidi amuache mwenzie aishi sababu ana mdogo na mama wa kuwaangalia na yeye akijiona ni Yatima,
Kilichonishangaza kwanini hao wote walidhani wangebaki na kwenda kutumia pesa zao pamoja wakati Game inahitaji Mshindi MMOJA tu!?
Nilicheka walivyorudi ndani na kumkuta yule Mama kitandani anacheka tu huku wao wakijua aliuliwa baada ya kukosa partner.
Jamaa aliamua kufa na mmoja wao[emoji3]Sio kwamba ilikuwa ni sukari mkuu biskuti ukilamba vile si itateketea mwishowe upigwe shaba..[emoji1787]
Kuna mwamba alipata umbo la mwamvuli akajitahidi akaitoa lakini ikavunjika kule mwishoni kakipande kadogo akaona msinitanie akaanza kukimbia! Hata hakufika mbali yani mule watu wanakufa kama njugu!.
Yule kenge aligonoka si mchezo unachezea bunduki wewe! Ila niliowahurumia zaidi waliochagua nyota na mwamvuli!! Waliokuwa na uhafadhari ni wenye umbo pembe tatu na duara.Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we acha
upoWenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.
Hapana hawakukujua kama mshindi ni mmojaHiyo scene ilinisikitisha sana kuliko scenes zote,
Walivyochaguana partners wakijua ndio kusaidiana kumbe ndio ilikua mbaya zaidi kwao maana bora wangekua mbali mbali,
Yule mtu na mkewe daah mwanamke akafa,
Ali alikufa kwa ujinga wake tu me hata sikumuonea huruma, game ya kufa na kupona bado unadanganyika kizembe vile,
Yule jamaa alivyokua anamdhulumu yule mzee huku roho inamuuma, mzee kumbukumbu zilikua zinapotea (ingawa alikua anajifanyisha)
Wale wadada wawili ambapo mmoja ilibidi amuache mwenzie aishi sababu ana mdogo na mama wa kuwaangalia na yeye akijiona ni Yatima,
Kilichonishangaza kwanini hao wote walidhani wangebaki na kwenda kutumia pesa zao pamoja wakati Game inahitaji Mshindi MMOJA tu!?
Nilicheka walivyorudi ndani na kumkuta yule Mama kitandani anacheka tu huku wao wakijua aliuliwa baada ya kukosa partner.
AiseeHapa nilipo nipo na majonzi sana.
Rafiki yangu wa ukweli last week end alilewa sana!
Akaenda klab akiwa na washkaj wengine wakalewa wakiwa na madem...
Wakati akitoka klab akagongana na gari ingine.sababu ni mapombe akaona ni msala akaondoka kuwahi nyumbani.
Asubuhi yake jpili ananipigia sim kwamba amegonga gari ya mke wake.
Anaomba iwe jua au mvua niseme kwamba nilikuwa nae wakati wa tukio na tulikuwa sehemu tumepaki tukagongwa.
Mi nikaona huu ni UKEI nikamtumia mesej mke wake kwamba jamaa amegongwa hakuwa na mimi..
Alikuwa na madem wengine na wasela wengine kwahiyo mi sikuwepo siku hiyo nilikuwa nimelala zangu...
Jamaa akanipia simu analia mbaya kabisa...
I trusted u my friend but u become a fvckin dick...
Au unataka unilie mke wangu kwann umemwambia na kuharibu wakti nilishampanga akaelewa ikaisha!!
Huku nafsi inaniuma nikamjibu GO FVCK URSELF MAZACHODRI
Maisha hapa yanasema usimwamini kila mtu kwenye kutafuta hela asee
Umeona yule dingi vip alivyotaka kumla tope yule intruder?Msisahau pale kwenye vioo vya kupasuka ukikanyanga vibaya tu umeondoka,
🤣😂😅 Lilikuwa ni li basha lile li zeeUmeona yule dingi vip alivyotaka kumla tope yule intruder?
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???Ila netflix series zao lazima wahusishe sex scene na ushoga..mnakumbuka yule mpuuzi kule chooni alivyomla mtu..na wale VIPs mmoja wao alivyotaka kum.fira jamaa yule askari..Hivi wakuu kwahiyo hatima ya lile chimbo kule kisiwani itakuaje..
Yule kenge aligonoka si mchezo unachezea bunduki wewe! Ila niliowahurumia zaidi waliochagua nyota na mwamvuli!! Waliokuwa na uhafadhari ni wenye umbo pembe tatu na duara.
afande noma saana[emoji1787][emoji23][emoji28] Lilikuwa ni li basha lile li zee
Wakorea hii series imewainua sana sana, wameonesha uwezo kwamba they can act anything na bado waka-make it.Matukio mengi ktk hii movie yanamaana Sana ktk maisha halisi na namna watu wengine wenye kuona mbali wanavyo tengeneza fedha kupitia maskini.. Ni muhimu kuangalia system za maisha yetu it kutumbukia kwenye mitego ya watu wakubwa wenye fedha zao kisa driving forces tulizonazo but nyengine ni natural driving forces Kama jamaa aliechukua mtonyo aliachwa na mwanamke kisa hana fedha hivyo mtoto wake alilelewa na baba wa kambo!,hii ilimuuma sana jamaa pia mama yake alikuwa anaumwa na nimzee jamaa nae hakuwa na mishe ya kuingiza fedha na anamadeni lukuki mpk anapewa visago..[emoji28]
Kwa mazingira haya lazima mtu wakufanye mbuzi wa sadaka.
Lile chimbo bado lipo na analisimamia Front Man.Ila netflix series zao lazima wahusishe sex scene na ushoga..mnakumbuka yule mpuuzi kule chooni alivyomla mtu..na wale VIPs mmoja wao alivyotaka kum.fira jamaa yule askari..Hivi wakuu kwahiyo hatima ya lile chimbo kule kisiwani itakuaje..
Pale ilikuwa balaa.. baada ya kujua kuna jamaa ana utaalam na vioo, anacheza na refraction wakashtuka.. wakaadjust settings..Msisahau pale kwenye vioo vya kupasuka ukikanyanga vibaya tu umeondoka,