Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Jamen ni stori ndefu sana na sina mood ya kutype, lakini huo ndio ujumbe mkuu kabisa unaopatikana mwishoni kabisa ambapo mastermind wa mchezo mzima alimpa mshindi, na huyo mastermind ni kikongwe sana ambaye naye pia alikuwemo kwenye game kama mshiriki.
Kuna maudhui nyingi Sana kwenye hii series.

Kwa mtazamo wangu yule jamaa hakupewa ushindi na yule kikongwe
 
Hikohiko, ndiyo kimastermind chenyewe, ni kitajiri sana lkn kimekulia kwenye maisha ya umasikini akapambana na hatimaye akatoboa, sasa hapo alipo alikuwa kwenye siku zake za mwishomwisho maana alikuwa na kansa ya ubongo.

Akaona asife kabla hajakumbushia michezo yake ya utotoni, lkn sasa yeye akaigeuza kuwa "Real Game", ukiwa terminated ni kweli unakufa kiukwelikweli, sasa washiriki walidhani ni mchezo kama soka kwamba ukifungwa unaaga mashindano, kumbe unakufa[emoji23]
Hapa umetupiga ndugu
 
Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we acha

Afu sang woo kwenye hio scenes ailshafahamu mchezo unaokwenda kutokea ,kama unakumbuka alimuuliza yule dada kama ameona chochote wakati alivyoenda chooni kuchungulia ,akamjibu ameona wanayeyusha sukari....wakati wanaangalia maumbo akukmbuka mchezo unavyo chezwa lkn hakumwambia mshikaji wake hata baada ya kuulizwa umegundua chochote akimjibu hapana
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Mwamvuli ilikuwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mate yalimsaidia sana.

View attachment 1984360
 
Hiyo scene ilinisikitisha sana kuliko scenes zote,

Walivyochaguana partners wakijua ndio kusaidiana kumbe ndio ilikua mbaya zaidi kwao maana bora wangekua mbali mbali,
Yule mtu na mkewe daah mwanamke akafa,

Ali alikufa kwa ujinga wake tu me hata sikumuonea huruma, game ya kufa na kupona bado unadanganyika kizembe vile,

Yule jamaa alivyokua anamdhulumu yule mzee huku roho inamuuma, mzee kumbukumbu zilikua zinapotea (ingawa alikua anajifanyisha)

Wale wadada wawili ambapo mmoja ilibidi amuache mwenzie aishi sababu ana mdogo na mama wa kuwaangalia na yeye akijiona ni Yatima,

Kilichonishangaza kwanini hao wote walidhani wangebaki na kwenda kutumia pesa zao pamoja wakati Game inahitaji Mshindi MMOJA tu!?

Nilicheka walivyorudi ndani na kumkuta yule Mama kitandani anacheka tu huku wao wakijua aliuliwa baada ya kukosa partner.
Ahahaha, yule mama alitisha sana, aliwadolishia sana[emoji1787]
 
squidgame-unit-107-0013-min-1632923463.jpg
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa 😅😂😂 star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Sio kwamba ilikuwa ni sukari mkuu biskuti ukilamba vile si itateketea mwishowe upigwe shaba..🤣

Kuna mwamba alipata umbo la mwamvuli akajitahidi akaitoa lakini ikavunjika kule mwishoni kakipande kadogo akaona msinitanie akaanza kukimbia! Hata hakufika mbali yani mule watu wanakufa kama njugu!.
 
Wenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.
Jamaa anadhani wale pia wanaishi kwa kiki kama bongo, namuambia ni kweli ilikataliwa lkn hataki kuamini.
 
Back
Top Bottom