Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
- Thread starter
- #21
Ni kweli kabisa, kwenye maisha huenda wanaoenjoy to the maximum ni wale wenye kipato cha kati. Ukiwa huna kitu kabisa life becomes a mess vivyo hivyo na ukiwa nacho.Oh Il Nam kama alivojiita kwenye Game.. anasema Masikini sana na Tajiri sana wote wana almost the same struggles.. kama huwezi kununua unachotaka huna tofauti na anayeweza nunua kila atakacho.. at this point life becomes boring.
Ndicho kilichomkuta, alikuwa na pesa mingi, maisha yake yakawa boring so he needed some fun..and Fun was SQUID GAME!
Je nini Kitatokea Kuhusu Brother ake In-Ho (Front Man).. Je Gi Hun atarudi Upya kwenye GAME?
Na yule mwamba anayerecruit itakuaje? (Aliyemrecruit Gi Hun to the Game)
Okay so far.. Squid 🐙 Game ni Story ya Filamu ya mwaka 2009 iliyokataliwa mara nyingi mpaka mwaka huu.. ndo ikakubaliwa kishingo upande..
Mchezo huu uligharimu dola 21M kuuandaa na ndani ya wiki 3 tu toka uachiliwe umeingiza zaidi ya Dola za Kimarekani 900M. What a return!!
Let's ✋
Front man lazima atarudi na nadhani ndiye kaachiwa mikoba na kaka ake.
Gi Hun naye lazima awemo maana mwishoni kabisa alimfumania yule mwamba aliyem-recruit akiendelea na ileile michezo yake ya kuwapa watu business card na mwisho wa siku wanajikuta wamo kwenye Squid Arena.