Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Jamen ni stori ndefu sana na sina mood ya kutype, lakini huo ndio ujumbe mkuu kabisa unaopatikana mwishoni kabisa ambapo mastermind wa mchezo mzima alimpa mshindi, na huyo mastermind ni kikongwe sana ambaye naye pia alikuwemo kwenye game kama mshiriki.Si usimulie kidogo jamen
Aah ndo yule kizee kinamove pale uwanjan kam RangooJamen ni stori ndefu sana na sina mood ya kutype, lakini huo ndio ujumbe mkuu kabisa unaopatikana mwishoni kabisa ambapo mastermind wa mchezo mzima alimpa mshindi, na huyo mastermind ni kikongwe sana ambaye naye pia alikuwemo kwenye game kama mshiriki.
Squid game ni balaa you will be eliminated green light ,,red light"Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"Binafsi siwezi, kwa umri niliofikia na kutembelea sehemu na maofisi mbalimbali, nikijumlisha na life la mtaani kwangu na kibaruani kwangu jinsi watu wanavyoishi hakika sina imani na mtu yeyoteee.
View attachment 1981632
Rafu aliyochezewa huyu mwamba mpaka ilibidi acheke tuu, na ndio rafu ambazo tunachezeana sana maishani, hiyo yote ni kwa sababu ya kuamini sana watu akidhani watu wote ni wema kama yeye.
View attachment 1981633
Yani uhondo anabaki nao yeyeSi usimulie kidogo jamen
Hikohiko, ndiyo kimastermind chenyewe, ni kitajiri sana lkn kimekulia kwenye maisha ya umasikini akapambana na hatimaye akatoboa, sasa hapo alipo alikuwa kwenye siku zake za mwishomwisho maana alikuwa na kansa ya ubongo.Aah ndo yule kizee kinamove pale uwanjan kam Rangoo
Season 2 haikupangwa kuwepo, lkn kwa jinsi season 1 ilivyoisha waliweka mazingira ya kuweka muendelezo.Season two lini??
Fungua pm nikusimulie huko bibieSi usimulie kidogo jamen
Squid game ni balaa you will be eliminated green light ,,red light
Oh Il Nam kama alivojiita kwenye Game.. anasema Masikini sana na Tajiri sana wote wana almost the same struggles.. kama huwezi kununua unachotaka huna tofauti na anayeweza nunua kila atakacho.. at this point life becomes boring.Hikohiko, ndiyo kimastermind chenyewe, ni kitajiri sana lkn kimekulia kwenye maisha ya umasikini akapambana na hatimaye akatoboa, sasa hapo alipo alikuwa kwenye siku zake za mwishomwisho maana alikuwa na kansa ya ubongo.
Akaona asife kabla hajakumbushia michezo yake ya utotoni, lkn sasa yeye akaigeuza kuwa "Real Game", ukiwa terminated ni kweli unakufa kiukwelikweli, sasa washiriki walidhani ni mchezo kama soka kwamba ukifungwa unaaga mashindano, kumbe unakufa[emoji23]
Eeh bhan hapo ni hatar tupu yaan ngoja nistop jombaa washa green
Aah ni bonge moja la seriesOh Il Nam kama alivojiita kwenye Game.. anasema Masikini sana na Tajiri sana wote wana almost the same struggles.. kama huwezi kununua unachotaka huna tofauti na anayeweza nunua kila atakacho.. at this point life becomes boring.
Ndicho kilichomkuta, alikuwa na pesa mingi, maisha yake yakawa boring so he needed some fun..and Fun was SQUID GAME!
Je nini Kitatokea Kuhusu Brother ake In-Ho (Front Man).. Je Gi Hun atarudi Upya kwenye GAME?
Na yule mwamba anayerecruit itakuaje? (Aliyemrecruit Gi Hun to the Game)
Okay so far.. Squid π Game ni Story ya Filamu ya mwaka 2009 iliyokataliwa mara nyingi mpaka mwaka huu.. ndo ikakubaliwa kishingo upande..
Mchezo huu uligharimu dola 21M kuuandaa na ndani ya wiki 3 tu toka uachiliwe umeingiza zaidi ya Dola za Kimarekani 900M. What a return!!
Let's β
Dunian usimwamin mtuJamaa alikufa kwa kuamini sana watu. Kafa huku akijua alistahili kuishi
Uyu mpuuz uyu daaah nmemnyooshea mikonooMastermind mwenyewe.View attachment 1981676