Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Sioni likiendelea maana wale watu ambao walikuwa wanainogesha wote wametoka na mahindi katoweja haijulikani kama anaenda kumtafuta mtoto wake huko jwa Biden au lah
Labda Kama Netflix wameshiba hela..
 
Hebu niambie unadhani ni scene gani pale inayoonyesha kuwa itaendelea?
Mkuu tusibishane bure hapa subiri tu tutaona matokeo ila mi nachojua kwamwe jamaa bado hawajashiba hela na elewa lile chimbo halijafahamika ili lidhibitiwe kumbuka jamaa bado wanafanya recruitment!..
Jamaa alieshinda fedha bado Kama anakisasi kutokana na aliowapoteza so nahisi huyu jamaa atakuwa adui yao namba moja.. wacha tuone mapiko.
 
Nani kakubishia hapo sasa?
 
Hakumkubali jamaa bure. Kama unakumbuka wakati wanaambiwa kuhusu game inayofuata wachaguane wawili wawili, mzee alitengwa kwa sababu alikua anaonekana dhaifu sana. Out of all members ni mshikaji pekee ndio aliamua kumchagua. Kwaiyo mzee alimlipa fadhila, si unajua tena "If you choose me now, I will choose you later". Na inavyoonekana kwenye ile movie, game ya Marbles (gololi) ndio ilikua game ya pekee ambayo ni rahisi ku fake kifo kwa sababu ilikua kwenye vyumba vyumba so ni rahisi mtu kutoonekana akifa. Zingine zote zilikua open space. Na mzee inaonekana alipanga kuishia pale (kwa sababu alikua ndio mastermind) na aliweka mtego kuwa atakae mchagua ndio atakae mzawadia opportunity ya next round.

Anyway, nilichokiona kwenye whole series ni kwamba in this life, the kind hearted people ndio wanao win big in the end. Hawa wazee wa survival for the fittest, me first, I don't care for anyone, na blah blah zingine kibao za kuwasaliti na kuwashinda wengine, huwa wana fika mbali lakini hawawi na mwisho mzuri.

So Be Kind : )

All Love.
 
Hivi wakati wa kuvuta kamba yule mzee mastermind alikuwa anajua kuwa anaenda kushinda ?....na group lao kulikuwa dhaifu ...
 
Hii movie inaendeleee Tena huko mbele inaweza kuwa kalii ,jamaa kagaili Safari ya kwenda marekani anaamua kurudi kuwafuatilia jamaaa....


Yule polisi ndio alinikera aisee ,anashindwa kufikisha ujumbe polisi ...
 
Hivo huo ushindi alipewa au he earned it..maana mle hakuna kubebana

Yule babu alimpa bwana...maana alikuwa anamfanyia mambo meusi mzee anajifanya hamnazo ila mwisho akamuambia kuwa rafiki yangu unawezaje kunifanyia hivyo na akampa kale kamoja alikokuwa amekabakiza. Ingawa kule mbele alijipigania mwenyewe asingefika huko kama babu asingempa ushindi
 
Ha ha ile game ya green light, red light baada ya kuanza kupelekewa moto walipagawa [emoji1][emoji1]

Hahaha eti kupelekewa moto. Na hapa nimejifunza kuwa kabla hujasaini uliza kwanza hicho kilichoandikwa maana yake nini badala ya kujifanya umeelewa. Pale hawakuelewa wenzao walimaanisha nini waliposema watakuwa 'eliminated'
 
Hahaha eti kupelekewa moto. Na hapa nimejifunza kuwa kabla hujasaini uliza kwanza hicho kilichoandikwa maana yake nini badala ya kujifanya umeelewa. Pale hawakuelewa wenzao walimaanisha nini waliposema watakuwa 'eliminated'
[emoji3][emoji3][emoji3] mwisho wa siku wakajua hawajui
 
Na ile game ya mwisho ya bridge!!? Au ilikuwa bahati jamaa kuchagua namba ya mwisho katika ushiriki?
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Baadae ndio kagundua kuna kuiramba...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....kilivunjikia mwishoni kwenye mshkio...[emoji1787]...akaficha na mikono.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....kilivunjikia mwishoni kwenye mshkio...[emoji1787]...akaficha na mikono.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......
Shaba kitu chengine..😂
 
Ali hakuamini alichokiona
 
Kwa nini hakuna mtu anamuongelea Sang woo alivyomtupia mwenzie kwenye kioo ili ahakiki kama kinapasuka au no kigumu. Jitu lilikuwa na roho ngumu lile, linakuua huku linakuangalia usoni
 
Kwa nini hakuna mtu anamuongelea Sang woo alivyomtupia mwenzie kwenye kioo ili ahakiki kama kinapasuka au no kigumu. Jitu lilikuwa na roho ngumu lile, linakuua huku linakuangalia usoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mjanja wake alikuwa huyu hapa[emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…