The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
sio mainda tu wengi wadada
Kama wewe bado ni-PM fasta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mainda tu wengi wadada
Kama wewe bado ni-PM fasta.
Hii habari ya kinaa naa tu.Dah mlokole mainda unatia aibu bana , hata kama umeachwa stress haziondolewi kihivyo.
Nasikia waumini wanalalamika wa apo apo kanisani kwenu Sinza , yaani full kujipendekeza kwa wanaume hadi wanaona soo , wengine wameoa na wengine wana wachumba zao. sitaki kuamini kama hicho ndo ulichokifuata kanisani, maana watu wanalalamika sana, kama umeamua kumtumikia mungu we endelea maana ki ukweli unajitahid sana kanisani, kama kuolewa utaolewa tu mbona, najua umri umeenda na unapenda kuwa na familia ila sio kihivyo kila kitu kina mda wake. Unawaaribia wenzio bhana , watu wana mingo zao we unawaaribia , fuata kilichokupeleka kanisani.
Kama wewe bado ni-PM fasta.
We imba tu hata ukitaka kulia Lia
Dunia yako, chaguo lako
Safi sana nafarijika kuona majiran zangu mkinitembelea humu, muwe mnakuja kuondoa stress humu bhana cku moja Moja , mda si mrefu ntaweka nitaku quote we endelea kutuliza izo pUmbu mkuu