Mainda Small Baby...

Mainda Small Baby...

Dah mlokole mainda unatia aibu bana , hata kama umeachwa stress haziondolewi kihivyo.
Nasikia waumini wanalalamika wa apo apo kanisani kwenu Sinza , yaani full kujipendekeza kwa wanaume hadi wanaona soo , wengine wameoa na wengine wana wachumba zao. sitaki kuamini kama hicho ndo ulichokifuata kanisani, maana watu wanalalamika sana, kama umeamua kumtumikia mungu we endelea maana ki ukweli unajitahid sana kanisani, kama kuolewa utaolewa tu mbona, najua umri umeenda na unapenda kuwa na familia ila sio kihivyo kila kitu kina mda wake. Unawaaribia wenzio bhana , watu wana mingo zao we unawaaribia , fuata kilichokupeleka kanisani.
Hii habari ya kinaa naa tu.
 
Teh wachumba wa shida sahivi acha akawinde kanisani bwana anaweza kumtendea muujiza
 
Back
Top Bottom