Mainda Small Baby...

Mainda Small Baby...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah mlokole mainda unatia aibu bana , hata kama umeachwa stress haziondolewi kihivyo.
Nasikia waumini wanalalamika wa apo apo kanisani kwenu Sinza , yaani full kujipendekeza kwa wanaume hadi wanaona soo , wengine wameoa na wengine wana wachumba zao. sitaki kuamini kama hicho ndo ulichokifuata kanisani, maana watu wanalalamika sana, kama umeamua kumtumikia mungu we endelea maana ki ukweli unajitahid sana kanisani, kama kuolewa utaolewa tu mbona, najua umri umeenda na unapenda kuwa na familia ila sio kihivyo kila kitu kina mda wake. Unawaaribia wenzio bhana , watu wana mingo zao we unawaaribia , fuata kilichokupeleka kanisani.
 
attachment.php
 
watu wanauza sura mpaka madhabahuni?

kudadeki.. kuwa celeb nako ni janga kama akili huna..

attachment.php
 
mbona ka ana kibendi au ndio vile vya nyama choma na serengeti

Kuna kipindi aliumwa chango cjui, akawa anajifanya eti hawez kupona hadi azae, sa Sijui mambo yalijipa tayar au alikuwa anaitafutia sababu hiyo mimba
 
watu wanauza sura mpaka madhabahuni?

kudadeki.. kuwa celeb nako ni janga kama akili huna..

attachment.php

UKo instagram tunakomaje kutwa mapicha yupo kanisani huu u celebrity wa kibongo noma kaka, kama vip na yeye aanzishe kipindi kama Kim kardashian , aaaah aaah aah
 
Da nimeamini wanaume tupo wachache sana na uchache humohumo kuna mashoga,wengine kitu hakipandi mlima. Mainda atapata shida sana kupata mwanaume wa kumuoa.
 
Back
Top Bottom