Mainda Small Baby...

Mainda Small Baby...

mbona she is cute na anawezapata wa maana tu! tena yuko mahali muafaka,,,tatizo nini!?! au dakika moja mbele..
 
Honestly huyu dada nikuwa nampenda sana alipokuwaga kaole enzi zile kababy face alafu nilikuwa naipenda sana couple yake na Marehemu max r.i.p may be angalikuwepo sasa hivi wangekuwa wanatarajia wajukuu sasa... Ila sasa hizi tabia anazoishi sikuiz hata haziendani na ako kamwili kake.
 
Ngoja mie niimbe ule wimbo wa Twanga.........."chuki binafsi haifai ooo...tuiacheni jamani..inaleta tafrani"
 
We imba tu hata ukitaka kulia Lia
Dunia yako, chaguo lako
 
Watu wengi sana wanasubiri, ipo

sa na ww Gossipcopwarumi kwann huileti fasta, unatueka watu wazima na p.u.M.b.U zetu humu jukwaani kwenu bila sababu siku zote kuisubiri hyo habari afu unazingua?
fasta bana tuko na kazi nyingi jukwaa la katiba tunasubiriwa aisee ama hutaki mpate katiba mpya bora?
 
Last edited by a moderator:

Safi sana nafarijika kuona majiran zangu mkinitembelea humu, muwe mnakuja kuondoa stress humu bhana cku moja Moja , mda si mrefu ntaweka nitaku quote we endelea kutuliza izo pUmbu mkuu
 
Loh na mimi uni quote jamani naingoja hyo habar kwa ham
 
sa na ww Gossipcopwarumi kwann huileti fasta, unatueka watu wazima na p.u.M.b.U zetu humu jukwaani kwenu bila sababu siku zote kuisubiri hyo habari afu unazingua?
fasta bana tuko na kazi nyingi jukwaa la katiba tunasubiriwa aisee ama hutaki mpate katiba mpya bora?

Upo lichokozi kama li matu..... huelewekiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom