Nilikuwa napenda sana kula maini ya wanyama wote wanaoliwa . Yote yawe ya kuchemsha, kurosti au kuchoma.
Daktari mmoja alinikuta nakula akanishauri niache kabisa mazoea haya. Aliniambia kuwa " ini ndicho kiungo kinachopokea na kuchuja sumu ya chakula anachokula mnyama hivyo basi maini yanakuwa na sumu nyingi isiyofaa kwa afya yako". Nimevumilia siku nyingi ila leo nimeyamisi mno .
Wadau nipeni ukweli maana nikiyakumbuka hata nanii ikasome jinsi ninavyoyamisi.
Wakti wa kuyaandaa
Yatoe kava la nje
Kata ndogo ndogo
Loweka kwenye maziwa kidogo
Alafu ya chuje endelea na taratibu zingine za kukarangiza
NakaziaUkiwafuatisha hao wadokta wa mbadala unaweza ukashindwa kula chochote....Kila kitu kwao ni sumu.
Mh mbona adhabu?Wakti wa kuyaandaa
Yatoe kava la nje
Kata ndogo ndogo
Loweka kwenye maziwa kidogo
Alafu ya chuje endelea na taratibu zingine za kukarangiza
Tena huwa wanayala mabichi kabisa, wana weka tu chumviHizi hsbari za uongo, wamadai wanayala kila siku hawajafa mbona