Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Kwa kweli , Kwa hiyo kama huna kazi huna utu ?Hekima ni mwalimu
Kazi ni kipimo cha utu
Kwa kweli , Kwa hiyo kama huna kazi huna utuHekima ni mwalimu
Kazi ni kipimo cha utu
Najaribu kuchunguza tu , watu wanao fukuzwa wanaishijeNi ofisi gani hiyo imekufuta kazi?
Itakuwa tamisemi tu hii,Kwa kweli , Kwa hiyo kama huna kazi huna utu
Najaribu kuchunguza tu , watu wanao fukuzwa wanaishije
HahahahaI
Itakuwa tamisemi tu hii,
Kwani ambao hawajawahi kupata kazi wanaishije?I
Itakuwa tamisemi tu hii,
Maisha baada ya kuipoteza kazi ni magumu kuliko ambaye hajawahi ajiriwaKwani ambao hawajawahi kupata kazi wanaishije?
Ukipata jibu la swali hilo hutababaika na chochote.
Mindset.Maisha baada ya kuipoyeza kazi ni magumu kuliko ambaye hajawahi ajiriwa
Unazani ni Kwa nini?Maisha baada ya kuipoteza kazi ni magumu kuliko ambaye hajawahi ajiriwa
Hii ni bonge Moja la point , umetisha kinyama.Siri ni moja tu kipindi unapiga kazi uwe unajiwekea kazi maana ukifuzwa kazi unakuwa mtaan kwa muda mpaka pale ukipata kazi nyingine, au lah ukiwa lbda unaujuzi unaweza kwenda kwa jmaa yako ambaye anafanya kazi ya fan yako unapga daywaka huwez kukosa kuishi mzes baba
Wengi wetu tunaishi kwa mishahara kwanza pili kuna Ile hali ya kujisifia mkosefu , marafiki na ndugu wengi hupotea . Unabaki mwenyeweUnazani ni Kwa nini?
Hapo nimekuelewa Mzee baba.Wengi wetu tunaishi kwa mishahara kwanza pili kuna Ile hali ya kujisifia mkosefu , marafiki na ndugu wengi hupotea . Unabaki mwenyewe
Ni kweli kabisa , nikipindi kizuri Cha shule na kutambua watu waaminifuTulipoteza wengi tuliodhani marafiki.
Ndugu wengi walitudharau na kutuona sikitu tena.
Tulipoteza heshima tukizokuanazo mitaani hadi Bar.
Lakini kilikua kipindi kizuri cha kujifunza na kutambua umuhimu wa kujiwekea akiba na literally uchumi, na ilitufundisha kuchagua marafiki wa kweli hadi leo tunatamba tu...😋
Kweli kabisa .Jiandae kufungiwa vioo na watu wote uliowasaidia.
Jiandae kugungiwa vioo na watumishi wenzio, washikaji mliokuwa mnakunywa nao, kuchoma nyama na kutembea pamoja.
Mwisho; simu yako itakuwa na upweke, utaondolewa kila sehemu, hakuna mtu atakupigia miongoni mwa cycle yako ya kazi. Jikaze mzee