Maisha baada ya kufukuzwa kazi

Na hii ndio point niliona kabisa naenda kuacha kazi au kufukuzwa until nilipo tafuta ujuzi then freedom ikaja.
 
Duuuh wengine kipindi tunafukuzwa mpaka kilimo kilikataa , ikawa hasara. Ndugu wa damu wakawa wanatuona mikosi .
Bora ufukuzwe private sio serikalini , maana hata sehem za kujitolea unafungiwa milango.
Tamisemi nyoko
dah,
si mchezo 🐒
 
sikuhz wameboreshewa mazingira ya kazi sio kama wazamani..walimu wa muda mrefu wanakula maisha usiwadharau.
 
Haya mambo sio rahisi kama mnavyoongea. Usafiri wenyewe wa mjini huu. Kutoka nyumbani asubuhi kurudi usiku umechoka. Huo ujuzi mpya utajifunza saa ngapi.
 
Umenipa idea kali sana ahsante kwa comment yako mkuu
 
Ni muda wa ku reflect

Toka nisimamishwe kazi, najiona Niko huru sana. Hakikisha unatafuta kitu chako, acha kulalamika, usiangalie jamii inasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…