B bhututu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 849 Reaction score 784 Jun 23, 2021 #101 Ushirikina ni imani kama imani zingine. Amini katika unachotaka kuamini tena amini sana. Utafanikiwa kwa mlengo wako huohuo.
Ushirikina ni imani kama imani zingine. Amini katika unachotaka kuamini tena amini sana. Utafanikiwa kwa mlengo wako huohuo.
G Geomopholisis Member Joined May 21, 2021 Posts 6 Reaction score 1 Jun 23, 2021 #102 hyo mlipewa manamba muongeze bidii kazi iendlee
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jun 23, 2021 #103 Watu wanaofikia huko ni WAVIVU WA MAISHA , waliokata tamaa na Wajinga tu Hiyo ni Imani tu ya kijinga wala haifanyi kazi.
Watu wanaofikia huko ni WAVIVU WA MAISHA , waliokata tamaa na Wajinga tu Hiyo ni Imani tu ya kijinga wala haifanyi kazi.
Mkulungwa01 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2021 Posts 3,977 Reaction score 5,339 Apr 9, 2023 #104 Kipangaspecial said: Hii mentality ni ya kipumbavu Click to expand... MPUMBAVU NI WEWE
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Apr 9, 2023 #105 Mkulungwa01 said: MPUMBAVU NI WEWE Click to expand... Wewe na babako wapumbavu.