Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Swala linalohusu mambo ya kiroho na uchawi upo, Nmekwambia twende sehemu nkakuonyeshe uchawi jinsi ulivyo unaleta bla bla,, Mnataka huo uthibitisho tuulete hapa JF au ?
Hiyo sehemu ipo kwenye ulimwengu huu huu uliopo ndio maana tunaweza hata kwenda.

Hakuna mambo ya kiroho, sema huna maarifa ya mambo hayo.

Ila wajuzi na wataalamu wa mambo hayo wanayafanya kwenye ulimwengu huu huu uliopo unao onekana.

Hakuna ulimwengu wa roho.
 
anyaway bro!!! fikiria kwa nini maisha ya wanyama hayabadiliki????,,na kwa nini binadamu anambadiliko kila siku,,,kuanzia kutawala mazingira yake mpaka kutengeneza vitu kama simu,ndege,satelite n.k,kwa nini wanyama hawaendi shule,hawavai nguo na kwa nini wanapojamiiana hawajistiri,yaani wanafanya hadharani???
 
Ok sory mkuu kwa kukushtukiza
Hli ni swali nliloulza wote wanaosema mungu yupo
Pia sijajibiwa thats why na wew nimekuulza mkuu
As for me,kwa ufahamu wangu nitakaposema Mungu yupo (of course naamini yupo) na mwenzangu akasema Mungu hayupo ikiwa hakuuingilia uhuru wangu wa kuliamini hilo na mimi sijaingilia uhuru wake nitaacha ibaki hivyo.

Kuna point moja nyie wote mnaosema Mungu hayupo na wanaosema yupo mnaikosa,haya ni mabishano kama ya Simba na Yanga tu hakuna siku utamsikia shabiki wa Simba kusema Yanga kamzidi kwa chochote same kwa Yanga kumsifia Simba majibu huonekana baada ya match uwanjani kasoro ishu ya imani majibu huonekana/yataonekana baada ya ninyi wote kufa (mnaoamini na wasioamini japokuwa hamtashuhudiana hayo mliyokuwa mnabishana hapa) so mtaenda hivi hivi mpaka mwisho hakuna siku mtakubaliana ila vibaya tu litokee kundi moja liseme lazima kundi fulani likubali hapo ndiyo patakuwa na shida.
 
Pengine nyinyi ndio wachawi wenyewe,
 
Huo uzima na pengine kipato ulicho nacho ndio kina kufanya uwaze hivyo kuwa kila jambo liko under your control. Walikuwepo akina Kingunge walikaza fuvu kuwa hawaamini katika uwepo wa MUNGU mauiti ilivyo karibia wanalia waitiwe Watumishi wa MUNGU na kuongozwa sala ya Toba na tulishuhudia Mazishi yalifanyika kikristo.
 
Huo uzima na pengine kipato ulicho nacho ndio kina kufanya uwaze hivyo kuwa kila jambo liko under your control. Walikuwepo akina Kingunge walikaza fuvu kuwa hawaamini katika uwepo wa MUNGU mauiti ilivyo karibia wanalia waitiwe Watumishi wa MUNGU na kuongozwa sala ya Toba na tulishuhudia Mazishi yalifanyika kikristo
Huo uzima na pengine kipato ulicho nacho ndio kina kufanya uwaze hivyo kuwa kila jambo liko under your control. Walikuwepo akina Kingunge walikaza fuvu kuwa hawaamini katika uwepo wa MUNGU mauiti ilivyo karibia wanalia waitiwe Watumishi wa MUNGU na kuongozwa sala ya Toba na tulishuhudia Mazishi yalifanyika kikristo
 
Mkuu nisome katikati ya mistari utanielewa.

Ni uwongo kwamba ninyi hapa leo kuna mmoja atamthibitishia mwenzake kwamba Mungu yupo au hayupo kwa sababu ninyi kila mmoja ana anachokijua kuhusu anachokiamini ndiyo maana nikawa unbiased kusema wote mpo sahihi kwa fahamu zenu.
 
Hivi kama kitu kipo kweli, Kingehitaji mabishano ya uwepo wake?

Wewe unadai Mungu yupo halafu kuthibitisha uwepo wake huwezi, Huoni kwamba Mungu huyo hayupo?

Huyo Mungu angekuwepo angejidhihirisha yupo na kutu prove wrong sisi tunao pinga uwepo wake.

Sisi tunapinga madai yenu ya kusema kwamba Mungu huyo yupo.

Sasa thibitisheni madai yenu ya uwepo wa Mungu ni ya kweli.

Maana madai ya kwamba Mungu yupo, Yametokea kwenu ninyi waamini huyo Mungu wenu.

Mkishindwa kuthibitisha, ni kwamba madai yenu ni ya uongo hayana ukweli wowote ule na huyo Mungu hayupo.

Mnafosi imani zenu tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Dah sawa masta!!!

Point tatu beba wewe!
 
Huwezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo, maana hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Una elewa hilo?

Ukisema kitu kipo, ndipo lazima uthibitishe Ulijuaje kipo, ukishindwa kuthibitisha ni kwamba hakipo.

Yaani utakuwa unaongea na kudai uwepo wa kitu bila ya kuwa na uhakika wa unacho kidai.
 
🀝🏾!!!
 
Swali kwako wewe unahisi hii Dunia jinsi ilivyo perfect unazan itakua imejitokezea tu
 
Yani mpangilio wa mnyama sijui moyo sijui mdomo sijui pua sijui macho unahisi hamna designer wa hivyo vitu
 
Ukiondoa hii hofu ya "kijinga " kuhusu moto wa milele utaishi kwa raha na amani. Mimi nilibatizwa kwa kuogopa huo moto waliotuambia wamisionari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…