Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Very perfect
 
Pole sana ndugu, yatakapokufika ya walimwengu kumbuka kuwa YESU ANAKUPENDA, NA ALIKUFA KWA AJILI YAKO PIA.
 
Hivi, kati ya mpumbavu na mjinga ni nani anasema hakuna Mungu.?
 
Science inaendelea kurekebisha makosa aliyofanya Mungu mnayedai yupo. Mimi nilizaliwa na tatizo la macho (myopia) bila Science leo hii ningekuwa siwezi kuona mbali.
Mkuu naona umegusia myopia apo umeponaje ni kwa miwani au kuna namna nyingine...? Naomba kujua.
 
Nitakuita next time ili uwape somo. 😁
Mimi nipo hapa kuangalia mnyukano kisha nichague kuamini km Mungu yupo au hayupo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
Shukrani Mkuu... Mimi mwenyewe nina tatazo hilo hilo, nikajua wanasayansi wamekuja na tiba mbadala.!
 
Unawaza kugeuzwa cadaver za wanafunzi wa udaktari.😁
Uongo huo 😹😹😹
Wale wanaozikwa na city mbona hawaombewi na dini yoyote.!!
 
Nitarudi ila nimecheka sana huu uzi, kuna mabro mnajua kujenga na kutetea hoja zenu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Igweeeeeeeeeeee 😹
 
Huyo Mungu mwenyewe hujaweza kuthibitisha yupo.
 
Kuna kitabu kimoja kiliandikwa na mmama flan wa MAREKANI ukikisoma utajua kuwa shetani na Mungu wote ni akili yako, yani shetani ni akili yako na Mungu pia ni akili yako.

Usipoamini katika uchawi hautarogwa, ukiwa jasiri mbele ya hatari yoyote bas utakuwa mshindi tu lakini isiwe katika mazingira ya kujitakia et uende ukasimame katikati ya reli eti unasema mimi ni jasiri na train haitanigonga umekwisha.
 
Dunia si perfect.

Haina usawa. Ina ajali za asili zinazoumiza na kuua wengi.

Hivi sasa kuna kimbunga kinakaribia Marekani kitaumiza watu wengi na kuharibu mali zao.

Wangependa kuishi maisha yao vizuri bila kusumbuliwa na kimbunga chochote.

Hapo utasemaje ulimwengu uko perfect?
 
Huyo Mungu mwenyewe hujaweza kuthibitisha yupo.
Ivi unajua kua hapo ulipo una Uungu ndani yako, ni vile tu hujapata namna sahihi ya kuudhihilisha.

Ama laa! Kuna concept moja sitaki kuiamini moja kwa moja ila kupitia wewe unanishawishi niiamini hiyo concept. Ambayo ni NPC (Non player Character).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…