Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Mungu tunam experience kuwa yupo ku prove vile mnavyotaka haiwezekani... We can only experience God existence through his intelligence he has made in this universe
 
Kuna vitu vingi sana hatuvijui hapa duniani Sasa unaanzaje kumjua mungu ikiwa Kuna mambo mengi tu hatuyajui
 
Haya maoni yako mkuu yamejitosheleza.
Heshima kwako.
 
Wazee hao wana maarifa, ujuzi na utaalamu wao ambao mtu wa kawaida huna hayo maarifa.

Kwa hiyo lazima uombe ruhusa za wazee wenye maarifa na ardhi yao.

Hakuna uchawi wala ulimwengu wa roho hapo.
Sasa hayo maarifa na ujuzi walionao likapewa neno "uchawi"

Sasa ambacho huwa unabishana wewe ni nini ? Ni neno uchawi au matendo yanayofanya na wachawi ?

Au una neno lingine la kutoa hapo tuanze kukusililiza wewe sasa

Tuwaweke kwenye kundi moja la wanasayansi ? Watabibu ?

Leta neno lako la kuwaita
 
Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?
Kiranga karibu Mkuu.
 
Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?
Kiranga karibu Mkuu.
Hiki ni swali linalohitaji maelezo marefu na majibu ya kimuktadha.

Ila, njia moja ya kuukaribia ukweli, ni kuondoa logical inconsistencies and contradictions.
 
Mjomba wewe umetingwa na hapa umeandika uzi kujipa moyo, Kwani hajui!? Mm nmepitia huko pia.

MUNGU yupo na anaendelea kuonekana maishani mwetu kila siku.
 
11
NAOMBA NENDA HOSPITAL YOYOTE HALAFU ZUNGUMZA NA MADAKTARI WAOMBE WAKUELEZEEE WAKANA DINI KAMA WEWE JINSI WANAVYOKATA ROHO KATIKA HALI YA KUTISHA NA KUOGOFYA HUKU.WAKIWA NA HUZUNI NA MAJUTO MAKUU .

KAMA ULIWEZA KUGUNDUA KUA MUNGU HAYUPO MAANA YAKE HUNA AKILI, UKO MENTAL RETARDED, MBONA KUGUNDUA KUA KUNA MUNGU NI JAMBO JEPESI TU LAKINI LAZIMA UWE NA AKILI.

CHUKILIA MFANO KIWANDANI, KIWANDA CHA MAJI KUNA MASHINE KAMA TANO KWA AJILI YA KUTOA CHUPA MOJA YA MAJI, KUNA MASHINE YA CHUPA, KUNA MASHINE YA KUJAZA MAJI, KUNA MASHINE YA KUWEKA VIZIBO, KUNA MASHINE YA KUWEKA LABEL KUNA MASHINE YA KUFUNGA KATONI.

SASA NJOO KWENYE MNAZI LILE DAFU AU NAZI NDIO LENYEWE TU LIJIJAZE MAJI LIJIWEKEE MAGAMBA YALE LENYEWE LIJIWEKE KWENYE TAWI? HAPO LAZIMA UTAGUNDUA KUNA SUPER NATURAL POWER KAMA TUNAVYOELEZWA KWENYE VITABU VYA DINI, LAKINI MPAKA UWE NA AKILI.NDIO UTAWEZA KUJUA
 
11
NAOMBA NENDA HOSPITAL YOYOTE HALAFU ZUNGUMZA NA MADAKTARI WAOMBE WAKUELEZEEE WAKANA DINI KAMA WEWE JINSI WANAVYOKATA ROHO KATIKA HALI YA KUTISHA NA KUOGOFYA HUKU.WAKIWA NA HUZUNI NA MAJUTO MAKUU .

KAMA ULIWEZA KUGUNDUA KUA MUNGU HAYUPO MAANA YAKE HUNA AKILI, UKO MENTAL RETARDED, MBONA KUGUNDUA KUA KUNA MUNGU NI JAMBO JEPESI TU LAKINI LAZIMA UWE NA AKILI.

CHUKILIA MFANO KIWANDANI, KIWANDA CHA MAJI KUNA MASHINE KAMA TANO KWA AJILI YA KUTOA CHUPA MOJA YA MAJI, KUNA MASHINE YA CHUPA, KUNA MASHINE YA KUJAZA MAJI, KUNA MASHINE YA KUWEKA VIZIBO, KUNA MASHINE YA KUWEKA LABEL KUNA MASHINE YA KUFUNGA KATONI.

SASA NJOO KWENYE MNAZI LILE DAFU AU NAZI NDIO LENYEWE TU LIJIJAZE MAJI LIJIWEKEE MAGAMBA YALE LENYEWE LIJIWEKE KWENYE TAWI? HAPO LAZIMA UTAGUNDUA KUNA SUPER NATURAL POWER KAMA TUNAVYOELEZWA KWENYE VITABU VYA DINI, LAKINI MPAKA UWE NA AKILI.NDIO UTAWEZA KUJUA
 
Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?
Kiranga karibu Mkuu.
Unatakiwa utoe uthibitisho na ukionyeshe hicho kitu kipo kweli.

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika na kuhisika.

Namna mojawapo kati ya hizo hapo juu unaweza kutumia kuthibitisha uwepo wa kitu chako unachodai kipo.

Sasa huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo, Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala Haisiki.

Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu.

imaginations just an illusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…