Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Sasa hayo maarifa na ujuzi walionao likapewa neno "uchawi"

Sasa ambacho huwa unabishana wewe ni nini ? Ni neno uchawi au matendo yanayofanya na wachawi ?

Au una neno lingine la kutoa hapo tuanze kukusililiza wewe sasa

Tuwaweke kwenye kundi moja la wanasayansi ? Watabibu ?

Leta neno lako la kuwaita
Kutumia neno "uchawi" kuwaita watu wenye utaalamu na maarifa yao ambayo wewe huna na huyajui kama neno tu la kuwatambua uwezo na maarifa yao, Hapo sawa.

Ila kudai kwamba kuna nguvu fulani isiyo ya kibinadamu na ambayo haifanywi na wanadamu inaitwa "uchawi" hapo nakataa.
 
Basi inaonekana unafahamu mambo mengi kuhusu haya,

Tuelezee hayo maarifa ambayo hao wazee wanayo yanafanyaje kazi kiasi kwamba machine ambazo zimetengenezwa kwa sayansi zishindwe kufanya kazi hadi wao watoe ruhusa
 
11

NAOMBA NENDA HOSPITAL YOYOTE HALAFU ZUNGUMZA NA MADAKTARI WAOMBE WAKUELEZEEE WAKANA DINI KAMA WEWE JINSI WANAVYOKATA ROHO KATIKA HALI YA KUTISHA NA KUOGOFYA HUKU.WAKIWA NA HUZUNI NA MAJUTO MAKUU .

KAMA ULIWEZA KUGUNDUA KUA MUNGU HAYUPO MAANA YAKE HUNA AKILI, UKO MENTAL RETARDED, MBONA KUGUNDUA KUA KUNA MUNGU NI JAMBO JEPESI TU LAKINI LAZIMA UWE NA AKILI.

CHUKILIA MFANO KIWANDANI, KIWANDA CHA MAJI KUNA MASHINE KAMA TANO KWA AJILI YA KUTOA CHUPA MOJA YA MAJI, KUNA MASHINE YA CHUPA, KUNA MASHINE YA KUJAZA MAJI, KUNA MASHINE YA KUWEKA VIZIBO, KUNA MASHINE YA KUWEKA LABEL KUNA MASHINE YA KUFUNGA KATONI.

SASA NJOO KWENYE MNAZI LILE DAFU AU NAZI NDIO LENYEWE TU LIJIJAZE MAJI LIJIWEKEE MAGAMBA YALE LENYEWE LIJIWEKE KWENYE TAWI? HAPO LAZIMA UTAGUNDUA KUNA SUPER NATURAL POWER KAMA TUNAVYOELEZWA KWENYE VITABU VYA DINI, LAKINI MPAKA UWE NA AKILI.NDIO UTAWEZA KUJUA
Waraka mrefu lakini hakuna cha maana ulichoandika.

Hakuna uthibitisho wa ulichoandika kuwa na uhusiano wowote na Mungu ambaye umeshindwa kuthibitisha uwepo wake na badala yake umeleta maneno tu.

Of course, una uwezo mdogo wa kujadili mada kubwa kama hizi bila kumu-attack mleta mada.

Unajua hata maana ya mental retardation i.e. intellectual disability? Hiyo ina-prove kuwa Mungu wako mjuzi wa yote hayupo kwasababu huo ni ulemavu (genetic condition) ambao watoto huzaliwa nao.

Ni ajabu kuona unaweka mfano kama huo (just to make fun of me). Inashangaza, sijui ni Mungu gani huyo unayemuabudu!
 
Unasema huna imani. Lakini unakubali kuwa hakuna Mungu. Unathibitishaje hilo?
Kusema hakuna Mungu ni kupinga imani yako unayo amini kuna Mungu.

Siamini kwenye imani yako ya uwepo wa huyo Mungu, Ndio maana nakwambia hakuna Mungu.

Hivyo huyo Mungu wako hayupo.
 
Namimi nasubiri majibu chief, Nijibu
 
Basi inaonekana unafahamu mambo mengi kuhusu haya,

Tuelezee hayo maarifa ambayo hao wazee wanayo yanafanyaje kazi kiasi kwamba machine ambazo zimetengenezwa kwa sayansi zishindwe kufanya kazi hadi wao watoe ruhusa
Hayo maarifa yao mimi sina, Kwa hiyo siwezi kuelezea hayo maarifa yao yapoje na yanafanyaje kazi.

Ila endapo wakinifundisha nikayajua hayo maarifa yao na mimi nitaweza kuyafahamu na kukuelezea.

Kuhitimisha moja kwa moja kwamba maarifa hayo yanatokana na nguvu fulani isiyo ya kibinadamu, ilhali maarifa hayo yanafanywa na wazee ambao ni binadamu kama sisi, Ni kufanya kitu kinachoitwa
"Argument from ignorance"

Kwa sababu wazee hao wakiweza kunipatia hayo maarifa yao nikayajua na mimi nitaweza kufanya kama wao.

Hivyo si kwamba kuna nguvu fulani isiyo ya kibinadamu ndio hufanya hayo mambo ya wazee.

Ni wazee hao hao.
 
We experience the existence of God through his intelligence
 
Umehitimisha hakuna nguvu ya ziada tofauti na wazee wenyewe, Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu utakubali na wewe kufuata maelekezo uzipate hizo nguvu ?
 
Kama sio nguvu za kibinadamu, Nguvu hizo zisingewezekana kufanywa na binadamu.

Yani hata hao wazee wangeshindwa, maana na wao ni binadamu.

Lakini ukishasema kwamba wazee ambao tayari ni binadamu wanafanya hizo nguvu, Automatically hizo nguvu zinafanywa na binadamu.

Ndio maana hao wazee ambao ni binadamu kama sisi wameweza kufanya.

Labda hiyo nguvu ijitokeze yenyewe, wazee wakae pembeni kabisa, Halafu tuione hiyo nguvu physically, ikifanya vitu.

Hapo ndio nitajua kuna nguvu isiyo ya kibinadamu.
 
Kusema hakuna Mungu ni kupinga imani yako unayo amini kuna Mungu.

Siamini kwenye imani yako ya uwepo wa huyo Mungu, Ndio maana nakwambia hakuna Mungu.

Hivyo huyo Mungu wako hayupo.
Imani inawahusu wanadamu.
Uwepo wa Mungu hautokani na uwepo wa imani.

Mungu yupo bila hata ya imani. Bila hata ya binadamu. Bila hata ya wanyama na mimea.

Kwa hiyo unaposema hakuna Mungu kwa misingi ya imani ya watu, unatenda kosa dhidi ya uwezo wako wa kufikiri - kuchunguza na kujua kuamua.
 
Kuna vitu vingi sana hatuvijui hapa duniani Sasa unaanzaje kumjua mungu ikiwa Kuna mambo mengi tu hatuyajui
Sasa wewe kama kuna vitu vingi huvijui, Ulijuaje huyo Mungu yupo?

Au unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule?
 
Kama sio nguvu za kibinadamu, Nguvu hizo zisingewezekana kufanywa na binadamu.

Yani hata hao wazee wangeshindwa, maana na wao ni binadamu.

Lakini ukishasema kwamba wazee ambao tayari ni binadamu wanafanya hizo nguvu, Automatically hizo nguvu zinafanywa na binadamu.

Ndio maana hao wazee ambao ni binadamu kama sisi wameweza kufanya.

Labda hiyo nguvu ijitokeze yenyewe, wazee wakae pembeni kabisa, Halafu tuione hiyo nguvu physically, ikifanya vitu.

Hapo ndio nitajua kuna nguvu isiyo ya kibinadamu.
Hujajibu swali chief, Jibu swali langu
 
Imani inawahusu wanadamu.
Mimi ni binadamu na sina imani ya aina yeyote ile.

Hivyo si kweli kwamba imani inawahusu binadamu.

Sema imani inakuhusu wewe na wafia dini wenzako.
Uwepo wa Mungu hautokani na uwepo wa imani.
Unatokana na nini?
Mungu yupo bila hata ya imani. Bila hata ya binadamu. Bila hata ya wanyama na mimea.
Ulijuaje yupo?

Ulimuona wapi ukajua yupo?

Unathibitishaje yupo?

Nita hakikishaje huyo Mungu wako yupo kweli, Na si mawazo yako ya kufikirika tu?
Kwa hiyo unaposema hakuna Mungu kwa misingi ya imani ya watu, unatenda kosa dhidi ya uwezo wako wa kufikiri - kuchunguza na kujua kuamua.
Nimesha kwambia tangu mwanzoni, Mimi sina imani ya aina yeyote ile.

Mimi napinga imani yako inayosema kuna Mungu.

Sasa wewe nithibitishie mimi huyo Mungu wako yupoje na ulijuaje yupo?

Sio kufosi imani zenu uchwara mlizo aminishwa.
 
U got guts! Only a fool will challenge the existence of God.
 
Back
Top Bottom