Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kutumia neno "uchawi" kuwaita watu wenye utaalamu na maarifa yao ambayo wewe huna na huyajui kama neno tu la kuwatambua uwezo na maarifa yao, Hapo sawa.Sasa hayo maarifa na ujuzi walionao likapewa neno "uchawi"
Sasa ambacho huwa unabishana wewe ni nini ? Ni neno uchawi au matendo yanayofanya na wachawi ?
Au una neno lingine la kutoa hapo tuanze kukusililiza wewe sasa
Tuwaweke kwenye kundi moja la wanasayansi ? Watabibu ?
Leta neno lako la kuwaita
Ila kudai kwamba kuna nguvu fulani isiyo ya kibinadamu na ambayo haifanywi na wanadamu inaitwa "uchawi" hapo nakataa.