Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ni vigumu kubishana na kichwa maji poyoyo aliye pumbazwa kuamini vitu bila uthibitisho, ushahidi na ukweli wa hiyo imani yako.Ni vigumu kubishana napumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vigumu kubishana na kichwa maji poyoyo aliye pumbazwa kuamini vitu bila uthibitisho, ushahidi na ukweli wa hiyo imani yako.Ni vigumu kubishana napumbavu
Usirudie tena makosa kijana 😹Nilisahau 😅😅😅
Haya maoni yako mkuu yamejitosheleza.Gamboshi sio ulimwengu wa roho.
Gamboshi ni eneo katika ulimwengu huu huu unao onekana na kuthibitishika upo.
Huelewi yanayotendeka Gamboshi kwa vile huna maarifa nayo. Ndio maana unadai Gamboshi ni ulimwengu wa roho.
Wana Gamboshi wenye utaalamu wao wanajua maarifa wanayotumia kwenye ulimwengu huu huu unao onekana ambayo wewe huna hayo maarifa ndio maana unadai kwamba ni ulimwengu wa roho.
Hakuna cha ulimwengu wa roho, sema wewe huna maarifa ya watu wa Gamboshi wanawezaje kufanya vitu kwenye ulimwengu huu huu unao onekana mpaka wewe unabaki kushangaa.
Kila kitu ni maarifa tu, Hakuna uchawi.
upo mremboUmeanza kujitambua.
Hongera sana
Sasa hayo maarifa na ujuzi walionao likapewa neno "uchawi"Wazee hao wana maarifa, ujuzi na utaalamu wao ambao mtu wa kawaida huna hayo maarifa.
Kwa hiyo lazima uombe ruhusa za wazee wenye maarifa na ardhi yao.
Hakuna uchawi wala ulimwengu wa roho hapo.
Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?Mimi sina imani ya aina yeyote ile.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Mimi sihitaji kuamini, Nataka kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu, Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo ya kufikirika tu, mnayoita imani.
Ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu akaonekana yeye kama yeye.
Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Hakuna kitu kinaitwa Baraka.
Baraka ni dhana ya kufikirika tu, iliyotungwa na wanadamu tu.
Baraka ni imaginations just an illusion.
Nichek 0625547181 hakika utapata ujuzi sahihiHaya sawa tufanye jpili mkuu
😹😹😹 au sioNichek 0625547181 hakika utapata ujuzi sahihi
Hiki ni swali linalohitaji maelezo marefu na majibu ya kimuktadha.Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?
Kiranga karibu Mkuu.
Nenda sasa ukachambue biblia ichambuke.😹😹😹 au sio
Habari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
NAOMBA NENDA HOSPITAL YOYOTE HALAFU ZUNGUMZA NA MADAKTARI WAOMBE WAKUELEZEEE WAKANA DINI KAMA WEWE JINSI WANAVYOKATA ROHO KATIKA HALI YA KUTISHA NA KUOGOFYA HUKU.WAKIWA NA HUZUNI NA MAJUTO MAKUU .Habari wana-JF!

Kumbuka kuna Mungu na kuna Dini, dini zinaweza zikaleta sintofahamu ila sio Mungu.Hiki ni swali linalohitaji maelezo marefu na majibu ya kimuktadha.
Ila, njia moja ya kuukaribia ukweli, ni kuondoa logical inconsistencies and contradictions.
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.Kumbuka kuna Mungu na kuna Dini, dini zinaweza zikaleta sintofahamu ila sio Mungu.
Unatakiwa utoe uthibitisho na ukionyeshe hicho kitu kipo kweli.Sasa naomba kujua ili kitu kithibitike kua hiki kitu ni cha kweli na kipo nitumie vigezo vipi, au ili uthibitishe kitu inatakiwa ufanyaje!!!?
Kiranga karibu Mkuu.