Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Firstly prove how God came to existence.

Acha kutumia existence ya vitu vilivyopo kuvihusisha kwamba viliumbwa na huyo Mungu ambaye hata humjui na hujawahi kumuona.

Thibitisha huyo Mungu yupo yeye kama yeye.
Kama kusingekua na existence yeyote basi na mungu asingekuwepo asee πŸ˜‚ lakini kwakua tuna exist basi muumba yupo
 
Kama kusingekua na existence yeyote basi na mungu asingekuwepo asee πŸ˜‚ lakini kwakua tuna exist basi muumba yupo
Hata Dunia ina exist yenyewe pasipo Muumbaji.

Dunia haihitaji muumbaji.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina muumbaji, Hata Dunia haihitaji muumbaji.
 
Watu maalumu wenye maarifa maalumu.

Huwezi kuwa na maarifa yenyewe tu, Bila watu.

Ndio maana hiyo definition ya uchawi ime elezea clearly kwamba, Ni watu maalumu wenye maarifa maalumu.

Sio maarifa yenyewe tu bila watu.
Mbona umeanza kuandika vitu havieleweki ? Tayari umeshapagawa sasa kunywa maji urelax hii sio vita tunajadili tu

Unaweza ukanionyesha walipoandika neno "watu maalumu" kwenye hiyo attachment ? Kama hautoweza kunionyesha basi inabidi uanze kujitambua jinsi ulivyo mtu wa kukurupuka
 
Lakini haiwezi ikawa rahisi hivyo et sisi binadam tutokee tu by chance kwenye ukamilifu wa namna hii , jiangalie wewe ulivyo pangiliwa af jiulize je inawezekana tu nilivyo nmetokea Kwa bahat mbaya
Kwani lazima niwe na chanzo kwamba nimeumbwa na Mungu?
Kama ni lazima, hata huyo Mungu ameumbwa, lazima ana chanzo.
haiwezekani Mungu atokee hivi hivi tu, lazima na yeye ameumbwa.
 
Soma hapo vizuri na nukuu kabisaπŸ‘‡

"Uchawi ni nguvu zinazo tumiwa na Watu wenye maarifa maalumu"

mwisho wa kunukuu.

Kwa hiyo hizo nguvu sio kwamba zina operate zenyewe tu, bila watu.

Bali nguvu hizo zina kuwa operated na watu maalumu wenye maarifa maalumu.
 
Samahani kwa hili swali kwako na kwa wengine kama ntakua nmewakwaza, Wewe ni Muha ?
 
Kwanini mmekua na confidence kiasi hicho kufikia kusema vitu hivi ? Nyie mmeshapata ushahidi kwamba hayupo ?
 
Kwani lazima niwe na chanzo kwamba nimeumbwa na Mungu?
Kama ni lazima, hata huyo Mungu ameumbwa, lazima ana chanzo.
haiwezekani Mungu atokee hivi hivi tu, lazima na yeye ameumbwa.
Je tu ki conclude kuwa mungu hana aliemuumba
 
Ukimaliza kunijibu, Nna swali la mwisho hapa

Bila shaka sasa umeshafahamu kama uchawi upo, Kwakua umeshaelewa uchawi ni nini, si ndio ?
 
Ndugu yangu ipo siku utamkumbuka Mungu tu, tena utamuhitaji haswa, jifikirie umemfukuzia msichana mrembo kakuhangaisha sana, mara umempata sasa kwenye yale mambo yenu unakuta jogoo hapandi mtungi, hapo itabidi utafute nguvu zenye weza kukupa nguvu ya kumudu shoo, ama sivyo utaadhirika. Nadhani kwa kuwa ulikuwa ukiomba huko nyuma utamaliza maombi yote ili tu askari apige saluti.
 
Nimeshakutana na mambo magumu kushinda huo mfano uliotoa na nikavuka mwenyewe.

Haipo siku nitakayomkumbuka huyo Mungu unayomuongelea kamwe!
 
Ukimaliza kunijibu, Nna swali la mwisho hapa

Bila shaka sasa umeshafahamu kama uchawi upo, Kwakua umeshaelewa uchawi ni nini, si ndio ?
Maarifa ndio yapo ila watu waliamua kuyapachika jina "uchawi" maarifa hayo wasiyo yajua.

Hivyo uchawi ni maarifa kama yalivyo maarifa mengine ya wanadamu.

Uchawi ni maarifa ya kibinadamu sio nguvu isiyo ya kibinadamu.
 
Hapo neno Watu maalumu liko wapi ?
Hivi wewe huoni hapo wameandika

"Watu wenye maarifa maalumu"

Au wewe ni kipofu na hujui kusoma sawasawa.

Hebu soma vizuri hii Attachment uliyoituma...πŸ‘‡πŸ‘‡

Kiranga na infronuer , Dini ndio zenye contradiction ila mungu hana contradiction.
Kuna zaidi ya Miungu 3,000 ambayo inaabudiwa na hakuna hata mmoja aliyethibitishwa, hiyo ni baada ya miaka bilioni 4.54 ya sayari yetu "Dunia".

Je, ni yupi Mungu wa kweli? πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Nimeshakutana na mambo magumu kushinda huo mfano uliotoa na nikavuka mwenyewe.

Haipo siku nitakayomkumbuka huyo Mungu unayomuongelea kamwe!
Kwa sasa hivi kinachokupa jeuri ni umri(ujana) na afya ngoja, sikuombei mabaya lakini ikifika wakati mwili na akili zimechoka lazima utarudi kwenye mstari tu.
 
Kwanini mmekua na confidence kiasi hicho kufikia kusema vitu hivi ? Nyie mmeshapata ushahidi kwamba hayupo ?
Anayedai Mungu yupo ni nani?

Si nyie waamini huyo Mungu, Sasa unataka mimi nisiyeamini nikuthibitishie madai yako wewe?

Hivi uko timamu kweli huko kichwani mwako?

Wewe unayedai huyo Mungu yupo ndio unatakiwa umthibitishe yupoje, ili sisi tusiomjua tupate kumjua kwa ushahidi na uhakika.

Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo ni kwamba madai yako ya Mungu yupo ni madai ya UONGO na huyo Mungu HAYUPO.
 
Kwa sasa hivi kinachokupa jeuri ni umri(ujana) na afya ngoja, sikuombei mabaya lakini ikifika wakati mwili na akili zimechoka lazima utarudi kwenye mstari tu.
Hiyo ni kawaida yenu mnaoamini: kuogopa kifo. Mada ya umri na afya umeileta kwasababu hiyo. Mimi sina sababu ya kuogopa hayo.

Binadamu tunatofautiana sana, elewa tu hivyo kuwa hiyo siku haitawahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…