Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Mwanadamu Asiangamie na nini?
Baada ya uasi
Kuangamia huko kulitokana na nini?
Na uasi wa mmoj wa high table member.
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye kuangamia?
Hakuumba mwanadamu ili aangamie, ila kuangamia kulitokn na uasi.
Ilhali aliweza kuumba binadamu wasioweza kuangamia
Hakutk kuwa dictator kwa kuwa command watu wafanye atakavyo
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Alikuumba
 
Baada ya uasi
Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kuasi?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumuasi?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio na uwezo wa kumuasi?
Na uasi wa mmoj wa high table member.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je Hakujua kwamba huyo
"High table member" atakuja kumuasi, Amdhibiti na kumzuia mapema?
Hakuumba mwanadamu ili aangamie, ila kuangamia kulitokn na uasi.
Mungu huyo hakujua kwamba uasi utatokea, Audhibiti na kuuzuia mapema usitokee?
Hakutk kuwa dictator kwa kuwa command watu wafanye atakavyo
Kama huyo Mungu alitaka watu wafanye watakavyo, kinacho mkera na kumuudhi akiona binadamu wakifanya uovu ni nini?

Kama huyo Mungu hapendi uovu na uasi, Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumuasi na kutenda maovu?

Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
Alikuumba
Hakuna Mungu aliyeniumba kwa vile huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je Hakujua kwamba huyo
"High table member" atakuja kumuasi, Amdhibiti na kumzuia mapema?
Aliesababisha uasi sio mwanadamu, ni malaika.
Kama huyo Mungu alitaka watu wafanye watakavyo, kinacho mkera na kumuudhi akiona binadamu wakifanya uovu ni nini?

Kama huyo Mungu hapendi uovu na uasi, Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumuasi na kutenda maovu?
Hajawahi kukerwa na dhambi ya mwanadamu. Ila ametoa njia ya mwanadamu kuepuka hiyo dhambi.
Hakuna Mungu aliyeniumba kwa vile huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ulitokeaje?
 
Don't limit God , nyie mnajitahidi kum limit God ,
 
Don't limit God , nyie mnajitahidi kum limit God ,
That God doesn't exist, that's why he cannot reveal himself.

You are just defending fictional character.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
 
Aliesababisha uasi sio mwanadamu, ni malaika.
Huyo malaika aliwezaje kusababisha uasi kama huyo Mungu aliumba kila kitu kwa ukamilifu?

Huyo Mungu hakujua kwamba huyo malaika atasababisha uasi amdhibiti na kumzuia mapema asifanye uasi?
Hajawahi kukerwa na dhambi ya mwanadamu. Ila ametoa njia ya mwanadamu kuepuka hiyo dhambi.
Kama huyo Mungu hakerwi na dhambi, kwa nini atoe njia ya kuepuka dhambi?

Kwa nini huyo Mungu asiache watu wafanye dhambi maadam umesema kwamba dhambi hazimkeri?
Ulitokeaje?
Nimetokea kwa kuzaliwa na wazazi wangu Baba na Mama.

Hakuna Mungu aliyeniumba.
 
Religion is a fictional identity.

Religion is a mental slavery.

Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.

Religion is a drug, religious leaders are the dealers their followers are the addicts.

Religion is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.

Religion is a programing system for collecting money from people who are unable to think.

Religion is a Scam.
I second you…
 
Usidhani kila mtu humu ni mtoto kama ulivyo wewe, una akili mbovu sana

Mwanzo ulisemaje ? Na hapa sasa unasemaje ?
Unajua wewe ni Tabularasa.

Nakwambia kwamba hakuna maarifa bila watu.

Ila wewe unadai kuna maarifa ambayo yapo yenyewe tu pasipo watu.

Ukiambiwa uthibitishe hayo maarifa yanafanywa na nani hujui, ila unakataa kwamba maarifa hayo hayafanywi na watu.

Sasa eleza na thibitisha ni nini kinafanya hayo maarifa bila kuhusisha watu.
 
Kwa sasa hivi kinachokupa jeuri ni umri(ujana) na afya ngoja, sikuombei mabaya lakini ikifika wakati mwili na akili zimechoka lazima utarudi kwenye mstari tu.
Mkuu, mimi pia ni kijana, sina afya njema na wala siamini uwepo wa Mungu.

Kwahiyo mtu kijana na mwenye afya njema siyo kwamba ndiyo atakuwa zuzu wa kuamini uwepo wa Mungu.

Matatizo yangu ya kiafya watanisaidia madaktari na au binadamu wenzangu wenye uwezo huo.
Sitarajii muujiza wowote kutoka kwa Mungu.
 
Um
Freemason ni kikundi cha watu tu wenye nguvu kubwa kiuchumi, kisiasa na kwenye jamii kiujumla.

Hakuna uhusiano wa Freemason na uwepo wa shetani.

Ndio maana mtu kapuku maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Huwezi kutaka kujiunga Freemason ili utajirike halafu ukubaliwe

Freemason ni kikundi cha matajiri tu kinacho unganisha watu ambao tayari wana nguvu za kifedha, nguvu kiuchumi, kisiasa, kibiashara n.k katika jamii.

Hata ukitaka kujiunga nao sharti uwe na nguvu fulani kisiasa au kiuchumi.
Unajua 🔥, ila bado hujajua zaidi pata elimu zaidi.
 
Um

Unajua 🔥, ila bado hujajua zaidi pata elimu zaidi.
Hakuna shetani aliyekaa mahali anaye operate na kuongoza kikundi kinacho itwa Freemason.

Freemason ni kikundi cha watu tu, kinacho ongozwa na watu tu.
 
Unajua wewe ni Tabularasa.

Nakwambia kwamba hakuna maarifa bila watu.

Ila wewe unadai kuna maarifa ambayo yapo yenyewe tu pasipo watu.

Ukiambiwa uthibitishe hayo maarifa yanafanywa na nani hujui, ila unakataa kwamba maarifa hayo hayafanywi na watu.

Sasa eleza na thibitisha ni nini kinafanya hayo maarifa bila kuhusisha watu.
Wewe umekubuhu!

Upumbavu ingekua ni level ya elimu wewe una PhD

Ngoja nkuache na upumbavu wako, Humu tunajadili na watu walipaswa wawe mirembe
 
Wewe umekubuhu!

Upumbavu ingekua ni level ya elimu wewe una PhD

Ngoja nkuache na upumbavu wako, Humu tunajadili na watu walipaswa wawe mirembe
Huna hoja wewe nenda kalale.

Sio kuongea vitu huna uthibitisho navyo ila unafosi fosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule.
 
Huna hoja wewe nenda kalale.

Sio kuongea vitu huna uthibitisho navyo ila unafosi fosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Ebu quote ni wapi nmedai maarifa yapo tu yenyewe bila watu,

Usipofanya hivyo, utakua umethibitisha madai yangu kuwa wewe ni mpumbavu
 
Ebu quote ni wapi nmedai maarifa yapo tu yenyewe bila watu,

Usipofanya hivyo, utakua umethibitisha madai yangu kuwa wewe ni mpumbavu
Umehitimisha hakuna nguvu ya ziada tofauti na wazee wenyewe, Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza
Hapa unatumia wazee ambao ni watu, kutaka waje wani elezee nguvu ambayo unadai hapa chini siyo ya kibinadamu...👇
hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu.
Hapa ulisema,👇

Hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu.

Halafu tena hapo juu unasema wazee ambao ni wanadamu waje wanielezee nguvu hizo ambazo sio za kibinadamu.

Kwa nini hiyo nguvu ambayo siyo ya kibinadamu haiji kujieleza yenyewe bila hao wazee?

Maana hao wazee ni binadamu ambao ni watu.

Na wewe ulisema hapo juu kwamba hizo nguvu sio za kibinadamu.
 
Hapa unatumia wazee ambao ni watu, kutaka waje wani elezee nguvu ambayo unadai hapa chini siyo ya kibinadamu...👇

Hapa ulisema,👇

Hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu.

Halafu tena hapo juu unasema wazee ambao ni wanadamu waje wanielezee nguvu hizo ambazo sio za kibinadamu.

Kwa nini hiyo nguvu ambayo siyo ya kibinadamu haiji kujieleza yenyewe bila hao wazee?

Maana hao wazee ni binadamu ambao ni watu.

Na wewe ulisema hapo juu kwamba hizo nguvu sio za kibinadamu.
Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu utakubali na wewe kufuata maelekezo uzipate hizo nguvu ?

Hivi hayo maelezo umeshindwa kuona kama huo ni mfano wenye swali ndani yake ambalo nlihitaji jibu na ulinijibu ? Unawezaje kusema ni madai yangu ?
 
Back
Top Bottom