Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu utakubali na wewe kufuata maelekezo uzipate hizo nguvu ?
Kwa nini uhitaji kukutana na hao wazee na sio kukutana na hiyo nguvu directly bila kuhusisha hao wazee?

Wewe si unadai hiyo nguvu sio ya kibinadamu?

Sasa kwa nini uhitaji kutumia wazee ambao ni binadamu?
Hivi umeshindwa kuona kama huo ni mfano wenye swali ndani yake ambalo nlihitaji jibu na ulinijibu ? Unawezaje kusema ni madai yangu ?
 
Kwa nini uhitaji kukutana na hao wazee na sio kukutana na hiyo nguvu directly bila kuhusisha hao wazee?

Wewe si unadai hiyo nguvu sio ya kibinadamu?

Sasa kwa nini uhitaji kutumia wazee ambao ni binadamu?
Sijadai hivyo, Ebu lainisha bichwa lako uwe unaelewa

Nmekwambia nlikuuliza kama mfano, Kwasababu mimi na wewe hatujaonana na hao wazee ila wewe ulitangulia kusema ni watu wenye maarifa fulani, mzizi wa hoja ulianzia hapo
Sasa ambacho hauelewi ni nini ?
 
Sasa kama huku thibitisha hizo nguvu hufanywa na wazee wenyewe,

Kwa nini ulikimbilia kusema hizo nguvu sio za kibinadamu ?
 
Kwa nini uhitaji kukutana na hao wazee na sio kukutana na hiyo nguvu directly bila kuhusisha hao wazee?

Wewe si unadai hiyo nguvu sio ya kibinadamu?

Sasa kwa nini uhitaji kutumia wazee ambao ni binadamu?

Haya maelezo hapo chini uliyatoa wewe, Hao watu maalumu ni kina nani ? 👇👇👇👇
Kuna hiyo Attachments uliyoituma hapo imeeleza vizuri kabisa kwamba uchawi ni maarifa waliyonayo watu maalumu.
 
Ni wazee ambao ni watu, binadamu kama sisi.

Ndio Watu maalum ambao wana maarifa maalumu ambayo maarifa hayo wewe huna na huyajui ila umeamua tu kuyaita "uchawi" kwa vile hujui hayo maarifa yanafanyikaje na hao wazee ambao ni binadamu.
 
Kwahiyo kama wewe sio mtu maalumu ukipewa hayo maarifa huwezi kuwa kama wao kwasababu wewe sio mtu maalumu ?

Na maarifa yapo kwajili ya watu maalumu ? Ndicho unachomaanisha
 
Kwahiyo kama wewe sio mtu maalumu ukipewa hayo maarifa huwezi kuwa kama wao kwasababu wewe sio mtu maalumu ?
Nikipewa hayo maarifa nitakuwa kama wao.

Kuwa mtu maalumu ni kwamba unakitu fulani au ujuzi fulani maalumu ambao wengine hawana.

Ndio maana unakuwa "maalumu" kwenye hicho kitu husika au kitengo husika.

Na maarifa yapo kwajili ya watu maalumu ?
Ndio.
Ndicho unachomaanisha
Ndio.
 
Nikipewa hayo maarifa nitakuwa kama wao.

Kuwa mtu maalumu ni kwamba unakitu fulani au ujuzi fulani maalumu ambao wengine hawana.

Ndio maana unakuwa "maalumu" kwenye hicho kitu husika au kitengo husika.

Ndio.

Ndio.
😅😅😅
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! [emoji854]
Fahamu tu Mungu huwa hadhihakiwi!
 
Fahamu tu Mungu huwa hadhihakiwi!
Huyo Mungu kama hadhihakiwi ajitokeze hadharani mwenyewe aseme hivyo na ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo.

Unahangaika kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃

naunga mkono hoja
 
Mkuu, mimi pia ni kijana, sina afya njema na wala siamini uwepo wa Mungu.

Kwahiyo mtu kijana na mwenye afya njema siyo kwamba ndiyo atakuwa zuzu wa kuamini uwepo wa Mungu.

Matatizo yangu ya kiafya watanisaidia madaktari na au binadamu wenzangu wenye uwezo huo.
Sitarajii muujiza wowote kutoka kwa Mungu.
Ujue hata hao madakatari watakusaidia kwa kuomba msaada wa Mungu wanaomuamini au pia utatibiwa na madaktari wasioyoamini Mungu?
Tatizo umeaminishwa vibaya ya kuwa kazi ya Mungu ni kutenda miujiza tu.
 
Ni swala la muda tu, utarudi tena hapa na story tofauti. Na sisi wala hatutakwambia chochote bwana mdogo, wewe endelea kujitoa ufahamu.
 
According to Dr Zakir naik, God is uncreated
If he can be created then his is not God
Allah is uncreated
 
I told shimey, I can't tell
I think we going to hell anyway.
Kodak
 
Back
Top Bottom