Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Kwani hapa nlichokosea ni nini ? Kukwambia ukafanye udadisi/tafiti kwa vitendo ?

Niambie hapa JF nilete uthibitisho kwa njia ipi
Lete uthibitisho wa uwepo wa ulimwengu wa roho unao dai upo.

Na huo ulimwengu wa roho usiwepo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.

Uelezee huo ulimwengu wa roho umeutoa wapi?
 
Lete uthibitisho wa uwepo ulimwengu wa roho unao dai upo.

Na huo ulimwengu usiwepo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.

Uelezee huo ulimwengu wa roho umeutoa wapi?
Nmewahi kusema hapa kwamba nyinyi atheist mnachopenda ni kubishana tu, Hampo serious na madai yenu

Ama pengine ni waoga na mnahofu kuhusu madai yenu,

Kama upo tayari kufahamu haya tujadili hapa na mashahidi wawepo mimi nipo tayari kugharamikia usafiri na pesa ya mafuta ili twende sehemu then utarudi hapa kutoa ushuhuda
 
Back
Top Bottom