Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Kujibu swali umeshindwa. Unaleta nukuu za mababu wa kizungu zilizotafsiriwa kwa lugha yako mtumwa wao ili uelewe mabwana zako wanakutaka uamini nini, ufanye nini.
Afya ya akilin
Wewe siyo mtu wa kwanza kumkataa Mungu,wapo wenzio kibao ambao wapo makaburini,wewe umeunga tela na baada yako watakuja wenzio kibwena mtaungana nao!,Hivyo Wala si kitu Kipya Kwa aliyekuumba!
Hata Wayahudi wenyewe wlimkataa Mungu,kuishi tuu kwenyewe ni udhihirisho kwamba Kuna Mungu!Aende kinyume na wanaamini uwepo wa Mungu,mfano kupumua apumulie matako mfululizo,kula alie mguu!nk ndio nitaamini anakana uwepo wa Mungu.
 
Nmewahi kusema hapa kwamba nyinyi atheist mnachopenda ni kubishana tu, Hampo serious na madai yenu

Ama pengine ni waoga na mnahofu kuhusu madai yenu,

Kama upo tayari kufahamu haya tujadili hapa na mashahidi wawepo mimi nipo tayari kugharamikia usafiri na pesa ya mafuta ili twende sehemu then utarudi hapa kutoa ushuhuda
Mimi madai yangu ni yapi?

Wewe si ndiye ulikuwa unadai ulimwengu wa roho upo?

Mimi nika kwambia haupo, kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.

Hata hilo eneo la Gamboshi lipo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.

Sasa wewe unataka kutafuta usafiri kunipeleka kwenye ulimwengu gani tofauti na huu huu unao onekana?
 
Afya ya akilin

Hata Wayahudi wenyewe wlimkataa Mungu,kuishi tuu kwenyewe ni udhihirisho kwamba Kuna Mungu!Aende kinyume na wanaamini uwepo wa Mungu,mfano kupumua apumulie matako mfululizo,kula alie mguu!nk ndio nitaamini anakana uwepo wa Mungu.
Huyo Mungu tangu akataliwe wala hajawahi kujitokeza kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo, kwa sababu hayupo.

Ni ninyi tu mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha.
 
Kama kuna ulimwengu mwingine usio onekana, Wewe uliuona wapi huo ulimwengu usionekana ukajua upo?

Kama huo Ulimwengu hauonekani, wewe uliwezaje kuuona?

Kama umeweza kuuona ulimwengu usio onekana, Huoni kwamba tayari huo ni ulimwengu unao onekana?
Hapa kinachotakiwa ni imani kama unachokisikia/au kuambiwa huamini basi fanya jitihada zozote zile ushuhudie wewe mwenyewe binafsi.... Kwasa najua experience yangu mimi juu ya imani nikikusimulia haita make sense katika fikra zako.

Nilishaikia level hizo za kutilia shaka uwepo wa Mungu, lakini kukawa kuna upeo mwingine unanijia mimi au sisi viumbe chanzo chetu ni wapi nikaamini kuna nguvu/uweza ulio fanya yote...

Mimi nakushauri kama umeshindwa kuamini pasipo kuhoji, basi endelea kidadisi wewe mwenyewe binafsi, hii ndio njia bora zaidi...

usichunguze shuhuda za watu au mafundisho yanayolenge kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Siku ukifanikiwa kupata ufunuo jaribu kumelezea mtu jinsi ilivyo Ndio utajua ni Ngumu kiasi gani kumuelezea mtu hasa awa wasomi.
 
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Ukishajua na kufahamu kitu fulani kipo, wala huhitaji imani tena ya kujua uwepo wa kitu hicho.

Maana tayari unajua na una uthibitisho na uhakika wa kuwepo kitu hicho.
 
Back
Top Bottom