Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Huyo Yesu hayupo na wala hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe.

Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Yesu kwa vile Hayupo kujidhihirisha mwenyewe.

Huyo Yesu kama Yupo, Aje hapa mwenyewe ajidhihirishe kama ana huo uwezo.
Yesu kristo alipaa kwenda mbinguni katika miaka 2000 iliyopita, agano lake kwetu Wana wa damu alinena ya kwamba atarejea Tena kwa mara nyingine katika ulimwengu kuwachukua walio hai na wafu ambao wametenda mema na kustahili kwenda mbinguni milele na milele.
Badilika mkuu yesu yupo na atakuja hutoa hukumu nyakati za mwisho.
 
Takataka! Nkisema mpo hapa kujifurahisha inbidi ukubaliane na mimi,
Mkuu,nenda nao taratibu hakuna haja ya kuwatukana.

Mimi naamini kwenye uhuru wa mtu ikiwa wao wameona hakuna Mungu sijui hakuna dini au uchawi or whatever hiyo ni juu yao ikitambulika zaidi kwamba kila mtu alikuja peke yake na ataondoka peke yake tuwaache soon kila mmoja wetu ataenda kuthibitisha alichokuwa anakifanya duniani,hayupo atakaeishi miaka 200 hapa wote ni hii hii 50,66 70 42 43 etc so tupeane nafasi ya kuchagua.
 
Yesu kristo alipaa kwenda mbinguni katika miaka 2000 iliyopita, agano lake kwetu Wana wa damu alinena ya kwamba atarejea Tena kwa mara nyingine katika ulimwengu kuwachukua walio hai na wafu ambao wametenda mema na kustahili kwenda mbinguni milele na milele.
Badilika mkuu yesu yupo na atakuja hutoa hukumu nyakati za mwisho.
Alipaa sehemu gani?

Nchi gani? Mkoa gani? Mtaa upi?

Tarehe ngapi? Mwezi upi? Mwaka gani?

Na muda gani exactly aliopaa?
 
MWILI UMESHAKUSHINDA KATIKA DHAMBI , 'MAANA ROHO IKIUSHINDA MWILI KATIKA KRISTO HAPO MWILI HUJIONA MTUMWA

HAPO NYUMA ULIPO KUWA UNAJIONA MTUMWA NDIO ULIKUWA MTU IMARA MAANA ROHO YAKO ILIUKANA MWILI UNAO TAKA UWE HURU KATIKA KUITENDA DHAMBI

POLE SANA RUDI KWA YESU MAANA SASA HIVI NDIO UMEKUWA MTUMWA KATIKA DHAMBI.
 
Mkuu,nenda nao taratibu hakuna haja ya kuwatukana.

Mimi naamini kwenye uhuru wa mtu ikiwa wao wameona hakuna Mungu sijui hakuna dini au uchawi or whatever hiyo ni juu yao ikitambulika zaidi kwamba kila mtu alikuja peke yake na ataondoka peke yake tuwaache soon kila mmoja wetu ataenda kuthibitisha alichokuwa anakifanya duniani,hayupo atakaeishi miaka 200 wote ni hii hii 50,66 70 42 43 etc.
Hawana hoja za kujibu zaidi ya Viroja na mihemko yao tu.

They are not mentally enough to argue, they are only capable to
ad hominem attacks.

Hawajibu hoja ila wana mshambulia mleta hoja.
 
MWILI UMESHAKUSHINDA KATIKA DHAMBI , 'MAANA ROHO IKIUSHINDA MWILI KATIKA KRISTO HAPO MWILI HUJIONA MTUMWA

HAPO NYUMA ULIPO KUWA UNAJIONA MTUMWA NDIO ULIKUWA MTU IMARA MAANA ROHO YAKO ILIUKANA MWILI UNAO TAKA UWE HURU KATIKA KUITENDA DHAMBI

POLE SANA RUDI KWA YESU MAANA SASA HIVI NDIO UMEKUWA MTUMWA KATIKA DHAMBI.
Dhambi haipo.

Sin is an imaginary disease invented to sell an imaginary cure.
 
Huyo mtume alisema wapi hayo maneno?

Aliyasema lini?

Siku gani? Tarehe ngapi? Mwezi gani? Mwaka gani?

Na muda gani exactly?
Muwe mnaniita mkianza hizo battle zenu bana mi die hard fan wenu mjue 😹😹😹
min -me mbona hujaniita?? Tutapingua urafiki
 
Kwa waanzilishi wa earthiesm sio wazungu? Una uhakika gan hujadanganywa?
Unajua walipataje uzito wa dunia na umbali toka dunian hadi kwenye jua?
Unachanganya mambo.
Kwanza, hiyo earthism ni nini katika hii context? Ulimaanisha atheism?

Pili, kama ulimaanisha atheism, basi kwa taarifa yako, binadamu wote originally ni atheist. So, hakuna aliyeanzisha atheism.
Binadamu kama mammal mwingine yeyote amekuwa atheist mpaka pale wanadamu walivyoanza kuishi pamoja kama jumuiya,.watu wakaongezeka, hadithi zikaandikwa halafu wakatokea wajanjajanja wakaanzisha dini kwa malengo yao ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni n.k

Tatu, usichangange atheism na Science. Hayo ni mambo mawili tofauti. Kuhusisha uzito wa dunia au umbali wa kutoka duniani mpaka kwenye jua na atheism ni kujidhalilisha mbele ya kadamnasi.

Natumai tunaelewana.
 
Mkuu,nenda nao taratibu hakuna haja ya kuwatukana.

Mimi naamini kwenye uhuru wa mtu ikiwa wao wameona hakuna Mungu sijui hakuna dini au uchawi or whatever hiyo ni juu yao ikitambulika zaidi kwamba kila mtu alikuja peke yake na ataondoka peke yake tuwaache soon kila mmoja wetu ataenda kuthibitisha alichokuwa anakifanya duniani,hayupo atakaeishi miaka 200 hapa wote ni hii hii 50,66 70 42 43 etc so tupeane nafasi ya kuchagua.
Wema wake uko wap
Mbna hamtaki kujbu swal langu
Na unavyojibu link na yanatokea dunian uko kama congo sudan palestina na israel
 
Back
Top Bottom