Maisha bwana!

Maisha bwana!

"Nashkuru huu mshahara umenisaidia sana nimejenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule na nyumba za uani za kupangisha,nina usafiri wangu wa boda vespa ya kuendea kuteseka kwa muhindi,nina somesha watoto wawili shule kubwa hapa mjini ada si chini 2m kwa Mwaka mzima.....nimeagiza Gari ya kuendea kazini kwa Muhindi.. Toyota Crown kutoka Japani,nyumbani nimefuga kuku na njiwa wengi sana kila siku tunakula wali kuku au kuku ugali na soda baridi.....kweli wahindi sio watu ila ni watu kidogo"

Sion unacholalamika , ndio unaona ni mateso ulivyo navyo vyote hadi umejenga kuna wengine hawana umeagiza hadi gari, mara mnakula wali kuku bado unalalamika?

Hakuna kazi rahisi so long as unalipwa na umefika hapo na watoto wanasoma komaa.

Kama ulikuwa unataka uhuru hiyo pesa uloagiza toyota crown ungefungua duka ukawa boss na wewe ukaajiri.
Wafanyakazi wa wahindi ni wezi sana hizo dola za muhindi hapo ndani jamaa atakuwa anapita nazo kimya kimya na hayo ndio maisha yao mshahara kisoda wizi beseni[emoji23]
 
AAcha Ujinga kijana. Dhambi hujaanza leo. We jamaa una matatizo ya kisaiokolojia nini?. Peleka moto hiyo mbususu mkuu mpka ikufate tandale yenyew
Bosi anamiliki mguu wa kuku....atanishot mkuu....siwezi kujaribu umalaya ni Zambi.
 
Posho ya elfu 60..
1. Ujengee nyumba!
2. Usomeshe watoto kwa ada zaidi ya sh.milioni 2 kwa mwaka!
2. Kila siku ule wali kuku au ugali kuku!
3. Uko mbioni kununua gari!

Uongo! Uongo! Uongo!
 
Nani kakudanganya kutosoma ni kikwazo cha kufanikiwa
 
Posho ya elfu 60..
1. Ujengee nyumba!
2. Usomeshe watoto kwa ada zaidi ya sh.milioni 2 kwa mwaka!
2. Kila siku ule wali kuku au ugali kuku!
3. Uko mbioni kununua gari!

Uongo! Uongo! Uongo!
Kajiunga jf leo
 
Anatudhalilisha tu. Kufa hajaanza yeye!. Amuwashie moto mtoto wa abigali huyoo.
Anaona huruma eti kumpekea dyudyu la yuyu muke ya boss tena ya ponjoro,hawa ndio wakati wa kulipiza biashara ya utumwa waliyotufanyia enzi hzo kmmqe
 
Watu hamjasoma thread hadi mwisho, mngeelewa "Moral lesson" ya hii story "nyie hamskizi" (in vinnie baite sound) hebu cheki huyu jamaa Ana nyumba hadi za kupangishia, a nakula makuku kila siku, ame agiza gari ya kibabe kabisa toka japoo kwenyewe yaani maisha yake si ya kitoto, mkuu ukitaka kuacha hiyo kazi niunganishe nizibe gap lako.
Endelea kuzoa mavi sasa
"
 
Watu hamjasoma thread hadi mwisho, mngeelewa "Moral lesson" ya hii story "nyie hamskizi" (in vinnie baite sound) hebu cheki huyu jamaa Ana nyumba hadi za kupangishia, a nakula makuku kila siku, ame agiza gari ya kibabe kabisa toka japoo kwenyewe yaani maisha yake si ya kitoto, mkuu ukitaka kuacha hiyo kazi niunganishe nizibe gap lako.

"
Weeeeee,kweli wewe ni giniaz bloangu
 
Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha.
Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia kwa uchungu kwa nini sikusoma.

Ndugu zangu hawa wahindi wananichapaga makofi nikichelewa kurudi ninapokuwa nimetumwa. Kuna siku Bosi wa kike alikuja akaniambia nikamtandikie kitanda chumbani kwake, nilipoingia ndani nikamkuta anavaa nikainamisha uso chini nisimuone Bosi wangu. Sehemu zake nyeti mali ya bosi mkuu, mara nyingi huwa ananitaka kimapenzi nami naogopa kupigwa pistol na mmewe bosi mkuu.

Mara nyingi huwa naficha uso hadi amalize kuvaa nguo anazobadilisha, huwa naenda kuzifua. Sasa alipomaliza kuvaa akaniambia niende kumtawaza mtoto alikuwa chooni tayari amejisaidia nikaenda kumsafisha mtoto wa bosi wangu kiroho ngumu maana sipendi harufu mbaya kabisa, huwa inanitesa sana lakini nitafanyaje sina Elmu inabidi niteseke mpaka yesu arudi mjini.

Kuna muda naona aibu kutokana na muonekano wangu, nimefuga ndevu nyingi sana kama sheikh mualqaida, huwa machozi yananitoka kuagizwa vitu vidogo vidogo vitu ambayo nikiwa kwangu nilipojenga huwa nawaagiza watoto wangu au mke wangu... ila huku napelekeshwa na watu wasiokuwa na ndevu.

Wale wahindi wanao parua ndevu zote kidevuni zinabaki za juu tu...'masharubu',vihindi vimbao mbao ndio vinanitesa ndugu zangu kisa sina Elmu.

Nikifika asubuhi nafagia jiko, nadeki, naosha vyombe, natenga chai nawaogesha watoto, namuamsha shemeji yake na boss apige mswaki, ajiandae kwenda kariakoo dukani, nawaamsha watoto wao wakike wakubwa tu wako chuo wajiandae kwenda kusoma.

Yaani napika mpaka mgongo unataka kukatika nisaidieni ndugu Wana JF, napika makachori, Hambari, makaroni, pilau la kuku, pizza, anjero za kuchovya na mavitu kibao asubuhi na mchana, naacha kabisa chakula cha kula usiku ndio naondoka naenda kwangu nilipojenga..wahindi wananitesa sana.

Kazi zoote hizo nalipwa shilingi za kitanzania 60,000 Cash mkononi kila baada ya siku 30 maana mpaka jumapili napigika, mgongo umeanza kupinda natembelea kifimbo kama kile cha mzee kifimbo cheza.

Nashkuru huu mshahara umenisaidia sana nimejenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule na nyumba za uani za kupangisha, nina usafiri wangu wa boda vespa ya kuendea kuteseka kwa muhindi, nina somesha watoto wawili shule kubwa hapa mjini ada si chini 2M kwa Mwaka mzima.

Nimeagiza Gari ya kuendea kazini kwa Muhindi.. Toyota Crown kutoka Japani,nyumbani nimefuga kuku na njiwa wengi sana kila siku tunakula wali kuku au kuku ugali na soda baridi.

Kweli wahindi sio watu ila ni watu kidogo sana. Niteseke lakini wamekataa hawaniongezei mshahara. sasa hapa najiuliza hapa niache au niendelee ewe mwana JF?
Ndio malipo hayo,wakati wenzio tulipokuwa tunakaza kusoma,wewe ulikuwa mara uko nje unakula bagia,mara utuchome na tunda za ubuyu..mara unaweka vioo chini uangalie chupi za wadada,mara umwangalie mwalimu kwa rula......
 
Watu hamjasoma thread hadi mwisho, mngeelewa "Moral lesson" ya hii story "nyie hamskizi" (in vinnie baite sound) hebu cheki huyu jamaa Ana nyumba hadi za kupangishia, a nakula makuku kila siku, ame agiza gari ya kibabe kabisa toka japoo kwenyewe yaani maisha yake si ya kitoto, mkuu ukitaka kuacha hiyo kazi niunganishe nizibe gap lako.

"
Kabisa jamaa anawangaa watu kinyume nyume ..hata kama angekuwa mwizi 60,000 hawezi fanya hivo vyote.. Hi kitu kuna kakicheko ana karusha kwa wandewa humuuu
 
Ukiitwa kutandika kitanda, tandika na hiyo mama....alafu mnywe na hii chai!!
 
Back
Top Bottom