Maisha bwana!

Maisha bwana!

Kuna uzi mmoja nausaka jamaa aliingia bar mara ya kwanza halafu umeme ukakatia na nyoka wakaingia.
 
Bhasi endelea kuwa msukule hapo. Kwa kalasinga mpaka akupake mafuta ndoutatoka
 
Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha.
Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia kwa uchungu kwa nini sikusoma.

Ndugu zangu hawa wahindi wananichapaga makofi nikichelewa kurudi ninapokuwa nimetumwa. Kuna siku Bosi wa kike alikuja akaniambia nikamtandikie kitanda chumbani kwake, nilipoingia ndani nikamkuta anavaa nikainamisha uso chini nisimuone Bosi wangu. Sehemu zake nyeti mali ya bosi mkuu, mara nyingi huwa ananitaka kimapenzi nami naogopa kupigwa pistol na mmewe bosi mkuu.

Mara nyingi huwa naficha uso hadi amalize kuvaa nguo anazobadilisha, huwa naenda kuzifua. Sasa alipomaliza kuvaa akaniambia niende kumtawaza mtoto alikuwa chooni tayari amejisaidia nikaenda kumsafisha mtoto wa bosi wangu kiroho ngumu maana sipendi harufu mbaya kabisa, huwa inanitesa sana lakini nitafanyaje sina Elmu inabidi niteseke mpaka yesu arudi mjini.

Kuna muda naona aibu kutokana na muonekano wangu, nimefuga ndevu nyingi sana kama sheikh mualqaida, huwa machozi yananitoka kuagizwa vitu vidogo vidogo vitu ambayo nikiwa kwangu nilipojenga huwa nawaagiza watoto wangu au mke wangu... ila huku napelekeshwa na watu wasiokuwa na ndevu.

Wale wahindi wanao parua ndevu zote kidevuni zinabaki za juu tu...'masharubu',vihindi vimbao mbao ndio vinanitesa ndugu zangu kisa sina Elmu.

Nikifika asubuhi nafagia jiko, nadeki, naosha vyombe, natenga chai nawaogesha watoto, namuamsha shemeji yake na boss apige mswaki, ajiandae kwenda kariakoo dukani, nawaamsha watoto wao wakike wakubwa tu wako chuo wajiandae kwenda kusoma.

Yaani napika mpaka mgongo unataka kukatika nisaidieni ndugu Wana JF, napika makachori, Hambari, makaroni, pilau la kuku, pizza, anjero za kuchovya na mavitu kibao asubuhi na mchana, naacha kabisa chakula cha kula usiku ndio naondoka naenda kwangu nilipojenga..wahindi wananitesa sana.

Kazi zoote hizo nalipwa shilingi za kitanzania 60,000 Cash mkononi kila baada ya siku 30 maana mpaka jumapili napigika, mgongo umeanza kupinda natembelea kifimbo kama kile cha mzee kifimbo cheza.

Nashkuru huu mshahara umenisaidia sana nimejenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule na nyumba za uani za kupangisha, nina usafiri wangu wa boda vespa ya kuendea kuteseka kwa muhindi, nina somesha watoto wawili shule kubwa hapa mjini ada si chini 2M kwa Mwaka mzima.

Nimeagiza Gari ya kuendea kazini kwa Muhindi.. Toyota Crown kutoka Japani,nyumbani nimefuga kuku na njiwa wengi sana kila siku tunakula wali kuku au kuku ugali na soda baridi.

Kweli wahindi sio watu ila ni watu kidogo sana. Niteseke lakini wamekataa hawaniongezei mshahara. sasa hapa najiuliza hapa niache au niendelee ewe mwana JF?
Endelea tu, kupanga ni kuchagua.
 
chai nying san inachosha bhn
 
Mshahara wako Tsh 60,000/= ikiwa hapo una pikipiki nijuze unatoa wapi hela ya mafuta,unawezaje kusomesha wanafunzi ada Tsh 2m,umeagiza gari aina ya crown ili uwe unaendea kazini kwa ajili ya kwenda kufanya kazi ya Tsh 60,000/=,ebu tuachie story ambazo hata hazisadikiki
 
Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha.
Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia kwa uchungu kwa nini sikusoma.

Ndugu zangu hawa wahindi wananichapaga makofi nikichelewa kurudi ninapokuwa nimetumwa. Kuna siku Bosi wa kike alikuja akaniambia nikamtandikie kitanda chumbani kwake, nilipoingia ndani nikamkuta anavaa nikainamisha uso chini nisimuone Bosi wangu. Sehemu zake nyeti mali ya bosi mkuu, mara nyingi huwa ananitaka kimapenzi nami naogopa kupigwa pistol na mmewe bosi mkuu.

Mara nyingi huwa naficha uso hadi amalize kuvaa nguo anazobadilisha, huwa naenda kuzifua. Sasa alipomaliza kuvaa akaniambia niende kumtawaza mtoto alikuwa chooni tayari amejisaidia nikaenda kumsafisha mtoto wa bosi wangu kiroho ngumu maana sipendi harufu mbaya kabisa, huwa inanitesa sana lakini nitafanyaje sina Elmu inabidi niteseke mpaka yesu arudi mjini.

Kuna muda naona aibu kutokana na muonekano wangu, nimefuga ndevu nyingi sana kama sheikh mualqaida, huwa machozi yananitoka kuagizwa vitu vidogo vidogo vitu ambayo nikiwa kwangu nilipojenga huwa nawaagiza watoto wangu au mke wangu... ila huku napelekeshwa na watu wasiokuwa na ndevu.

Wale wahindi wanao parua ndevu zote kidevuni zinabaki za juu tu...'masharubu',vihindi vimbao mbao ndio vinanitesa ndugu zangu kisa sina Elmu.

Nikifika asubuhi nafagia jiko, nadeki, naosha vyombe, natenga chai nawaogesha watoto, namuamsha shemeji yake na boss apige mswaki, ajiandae kwenda kariakoo dukani, nawaamsha watoto wao wakike wakubwa tu wako chuo wajiandae kwenda kusoma.

Yaani napika mpaka mgongo unataka kukatika nisaidieni ndugu Wana JF, napika makachori, Hambari, makaroni, pilau la kuku, pizza, anjero za kuchovya na mavitu kibao asubuhi na mchana, naacha kabisa chakula cha kula usiku ndio naondoka naenda kwangu nilipojenga..wahindi wananitesa sana.

Kazi zoote hizo nalipwa shilingi za kitanzania 60,000 Cash mkononi kila baada ya siku 30 maana mpaka jumapili napigika, mgongo umeanza kupinda natembelea kifimbo kama kile cha mzee kifimbo cheza.

Nashkuru huu mshahara umenisaidia sana nimejenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule na nyumba za uani za kupangisha, nina usafiri wangu wa boda vespa ya kuendea kuteseka kwa muhindi, nina somesha watoto wawili shule kubwa hapa mjini ada si chini 2M kwa Mwaka mzima.

Nimeagiza Gari ya kuendea kazini kwa Muhindi.. Toyota Crown kutoka Japani,nyumbani nimefuga kuku na njiwa wengi sana kila siku tunakula wali kuku au kuku ugali na soda baridi.

Kweli wahindi sio watu ila ni watu kidogo sana. Niteseke lakini wamekataa hawaniongezei mshahara. sasa hapa najiuliza hapa niache au niendelee ewe mwana JF?

Ukimwelewa huyo mama wa kihindi mshahara utapanda na hizo shoruba zitapungua. Kaza roho ujenge na nyingine upangishe
 
N
Mshahara wako Tsh 60,000/= ikiwa hapo una pikipiki nijuze unatoa wapi hela ya mafuta,unawezaje kusomesha wanafunzi ada Tsh 2m,umeagiza gari aina ya crown ili uwe unaendea kazini kwa ajili ya kwenda kufanya kazi ya Tsh 6,0000/=,ebu tuachie story ambazo hata hazisadikiki
Nilicheza michezo
 
Back
Top Bottom