MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
10. mbona umesahau ni mahala pa kujipatia viserengeti boys and dada wa kitanga !!!!!ala?
Mkuu tutake radhi hapa una maanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10. mbona umesahau ni mahala pa kujipatia viserengeti boys and dada wa kitanga !!!!!ala?
mkuu,Chrispin mbona una mtizamo finyu sana??? Vipi kuhusu
1. Watu waopotoze ajira zao (au kwa vile dada yako afanyi kazi hapo?)
2. Vipato vya madereva tax na vibajaji
3. lost government revenues in terms of tax
4. wategemezi wa dada yetu Hellen
5. Kamtaji ka dada yetu (assuming MC was not insured)
6. Uchafuzi wa mazingira
7. Sadaka walizokuwa wanatoa wafanyakazi wa MC kila waendapo makanisani na misikitini
8. Ajira ya maDj na wanamuziki waliokuwa wanatumbuiza hapo
8. Burudani waliyokuwa wanapata watu mbalimbali, ambayo pengine ilikuwa inawafanya wapumzishe akili na miili yao na hivyo kuongeza tija mahala pao pa kazi
9. n.k. n.k.
Eh MJ1 ni mfano tu jamani....hivi wewe ni watokea Tanga nini?Mkuu tutake radhi hapa una maanisha nini?
Chrispin mbona una mtizamo finyu sana??? Vipi kuhusu
1. Watu waopotoze ajira zao (au kwa vile dada yako afanyi kazi hapo?)
2. Vipato vya madereva tax na vibajaji
3. lost government revenues in terms of tax
4. wategemezi wa dada yetu Hellen
5. Kamtaji ka dada yetu (assuming MC was not insured)
6. Uchafuzi wa mazingira
7. Sadaka walizokuwa wanatoa wafanyakazi wa MC kila waendapo makanisani na misikitini
8. Ajira ya maDj na wanamuziki waliokuwa wanatumbuiza hapo
8. Burudani waliyokuwa wanapata watu mbalimbali, ambayo pengine ilikuwa inawafanya wapumzishe akili na miili yao na hivyo kuongeza tija mahala pao pa kazi
9. n.k. n.k.
Mi sisikitiki sana kwa kuwa kilichoungua Siyo Nyumba Ya Kumtukuza Mungu.
Eee Bwana Mungu msamehe mtumishi huyu kwa kuwa hajui alisemalo! Kama ulininukuu vema nilisema sisikitiki sana. Siyo kwamba sisikitiki, ila sisikitiki sana. Kwangu mimi ni afadhali maisha club kumi ziungue kuliko NYUMBA MOJA YA BWANA KUUNGUA.
mtake radhi mpwa kijana!Mmmhhh
Anasema tuwe nazo nyumbani.hivi wewe unadhani faya eksitinguisha haikuwepo maisha?
nyumba gani anazozizungumzia huyu?Anasema tuwe nazo nyumbani.
Jamani poleni wahanga maana walioathiriwa na janga hili ni wengi! Lakini mbona mioto imezidi sehemu za biashara siku hizi? Tulisikia ya Sea Cliff, tukasikia ya Paradise, tunasikia ya Maisha .... yaani ni kama yale ya shule za sekondari ambazo zilikuwa zinahujumiwa sasa na hapa tuseme kuna wanaowahujumu hawa wajasiria mali?
Mpwa kulikuwa kuna dada zetu wakitanzania wanapiga kazi pale usiku nao huwasikitikii, unajua kiwanja kile kilikuwa kinatoa ajira kwa hao akina dada kwani maeneo mengine kova anawasumbua sana. Si unajua kilimo kwanza?
Mimi niliwah kuandika humu JF na narudia tena japo binafsi sina nyumba yangu binafsi au ya biashara lakini nawauliza hata sisi wenyewe members hapa JF, ni nani ana fire extinguisher hata moja nyumbani kwake na familia wanajua kuitumia??
Mkuu Magezi,
Swali zuri sana hilo. Nafikiri wengi hatuna. Huu ni wakati muafaka wa kufikiria kuwa na fire extinguisher kwenye nyumba zetu tunazoishi.
Nani anajua fire extinguisher zinauzwa wapi na bei yake ikoje atusaidie? Nitahitaji kununua ile ya dry powder type.
Tiba
Mama Hellen. Janga kama hili linatukumbusha kukatia bima biashara zetu!!!!!!
Tiba
Lakini pia kwa wenzetu wa clubs na mahoteli lazima wabadirike ktk ujenzi. Unakuta mtu kawekeza kwenye sakafu kuta na vifaa vingine lakini ukiangalia paa ni nyasi au makuti, je, kweli ikitokea ajali ya moto nani alaumiwe? kwa nini vigae visitumike?
Unataka ya ujazo gani?