Maisha Club imeungua moto!!

Maisha Club imeungua moto!!

Chrispin mbona una mtizamo finyu sana??? Vipi kuhusu
1. Watu waopotoze ajira zao (au kwa vile dada yako afanyi kazi hapo?)
2. Vipato vya madereva tax na vibajaji
3. lost government revenues in terms of tax
4. wategemezi wa dada yetu Hellen
5. Kamtaji ka dada yetu (assuming MC was not insured)
6. Uchafuzi wa mazingira
7. Sadaka walizokuwa wanatoa wafanyakazi wa MC kila waendapo makanisani na misikitini
8. Ajira ya maDj na wanamuziki waliokuwa wanatumbuiza hapo
8. Burudani waliyokuwa wanapata watu mbalimbali, ambayo pengine ilikuwa inawafanya wapumzishe akili na miili yao na hivyo kuongeza tija mahala pao pa kazi
9. n.k. n.k.
mkuu,
this is ABOMINATION TO MY SHEMEJI!yale ni mawazo yake,na mimi binafsi na watu wengi tumeyapenda

mtake radhi!i am counting 10,............9,.............
 
Mi nafikiri matukio mengi ya moto yanasababishwa na hitilafu za umeme ingawa sina data za kusupport hilo. Nawashauri watu wanaojenga nyumba siku hizi, kufanya proper electrical wiring design kwa wataalamu wanaojua nini kikae wapi wakibase kwenye matumizi halisi ya umeme kwenye hiyo nyumba. Zile enzi za kuokota okota mafundi tu eti kwasababu wanajua kuzifunga waya zimepitwa na wakati kabisa. Halafu, kwenye public building ni lazima kuwe na fire fighting susyems na proper exit doors! Imagine issue hii ingelikuwa jmosi jioni mambo yangekuwaje?
 
Chrispin mbona una mtizamo finyu sana??? Vipi kuhusu
1. Watu waopotoze ajira zao (au kwa vile dada yako afanyi kazi hapo?)
2. Vipato vya madereva tax na vibajaji
3. lost government revenues in terms of tax
4. wategemezi wa dada yetu Hellen
5. Kamtaji ka dada yetu (assuming MC was not insured)
6. Uchafuzi wa mazingira
7. Sadaka walizokuwa wanatoa wafanyakazi wa MC kila waendapo makanisani na misikitini
8. Ajira ya maDj na wanamuziki waliokuwa wanatumbuiza hapo
8. Burudani waliyokuwa wanapata watu mbalimbali, ambayo pengine ilikuwa inawafanya wapumzishe akili na miili yao na hivyo kuongeza tija mahala pao pa kazi
9. n.k. n.k.

Eee Bwana Mungu msamehe mtumishi huyu kwa kuwa hajui alisemalo! Kama ulininukuu vema nilisema sisikitiki sana. Siyo kwamba sisikitiki, ila sisikitiki sana. Kwangu mimi ni afadhali maisha club kumi ziungue kuliko NYUMBA MOJA YA BWANA KUUNGUA.
 
Mi sisikitiki sana kwa kuwa kilichoungua Siyo Nyumba Ya Kumtukuza Mungu.

Mpwa kulikuwa kuna dada zetu wakitanzania wanapiga kazi pale usiku nao huwasikitikii, unajua kiwanja kile kilikuwa kinatoa ajira kwa hao akina dada kwani maeneo mengine kova anawasumbua sana. Si unajua kilimo kwanza?
 
Eee Bwana Mungu msamehe mtumishi huyu kwa kuwa hajui alisemalo! Kama ulininukuu vema nilisema sisikitiki sana. Siyo kwamba sisikitiki, ila sisikitiki sana. Kwangu mimi ni afadhali maisha club kumi ziungue kuliko NYUMBA MOJA YA BWANA KUUNGUA.

Mmmhhh
 
Jamani poleni wahanga maana walioathiriwa na janga hili ni wengi! Lakini mbona mioto imezidi sehemu za biashara siku hizi? Tulisikia ya Sea Cliff, tukasikia ya Paradise, tunasikia ya Maisha .... yaani ni kama yale ya shule za sekondari ambazo zilikuwa zinahujumiwa sasa na hapa tuseme kuna wanaowahujumu hawa wajasiria mali?

St Joseph Cathedral, Azania Front, St. Alban, FGBF, Masjid Qubbah & associates zitaendelea kuwakiwa na UTUKUFU WA MUNGU. Karibuni Tumtukuze Mungu aliye hai. Msisahau, Yeye ndiye aliyeumba MOTO na MOTO uko chini ya mamlaka yake.
 
Mpwa kulikuwa kuna dada zetu wakitanzania wanapiga kazi pale usiku nao huwasikitikii, unajua kiwanja kile kilikuwa kinatoa ajira kwa hao akina dada kwani maeneo mengine kova anawasumbua sana. Si unajua kilimo kwanza?

Hahaha! Noted with many thanks and filled for future reference.
 
Mimi niliwah kuandika humu JF na narudia tena japo binafsi sina nyumba yangu binafsi au ya biashara lakini nawauliza hata sisi wenyewe members hapa JF, ni nani ana fire extinguisher hata moja nyumbani kwake na familia wanajua kuitumia??

Mkuu Magezi,

Swali zuri sana hilo. Nafikiri wengi hatuna. Huu ni wakati muafaka wa kufikiria kuwa na fire extinguisher kwenye nyumba zetu tunazoishi.

Nani anajua fire extinguisher zinauzwa wapi na bei yake ikoje atusaidie? Nitahitaji kununua ile ya dry powder type.

Tiba
 
This is becoming serious!!
No wonder insurance costs is going up everyday.
 
Mkuu Magezi,

Swali zuri sana hilo. Nafikiri wengi hatuna. Huu ni wakati muafaka wa kufikiria kuwa na fire extinguisher kwenye nyumba zetu tunazoishi.

Nani anajua fire extinguisher zinauzwa wapi na bei yake ikoje atusaidie? Nitahitaji kununua ile ya dry powder type.

Tiba

Unataka ya ujazo gani?
 
Mama Hellen. Janga kama hili linatukumbusha kukatia bima biashara zetu!!!!!!

Tiba

Hawa wanalipwa na bima na wakati mwingine huwa wanapanga na kusababisha hizi ajali maana wanalipa hela nyingi bima kwa mfano ukichunguza vizuri unaweza kuta analipa 70 million per year
 
Lakini pia kwa wenzetu wa clubs na mahoteli lazima wabadirike ktk ujenzi. Unakuta mtu kawekeza kwenye sakafu kuta na vifaa vingine lakini ukiangalia paa ni nyasi au makuti, je, kweli ikitokea ajali ya moto nani alaumiwe? kwa nini vigae visitumike?

Nyekundu: wenyewe wanadai wanaendeleza utamaduni.

Mkuu umeraise point ya maana, mbali ya kuwa na fire extinguishers hivi ni majengo mangapi hapa nchini yana sprinklers na kama zipo zinafanya kazi? Kuna maswali mengi kuliko majibu.
 
Unataka ya ujazo gani?

Mkuu Askofu,

Bahati mbaya sijui zinakuwa na ujazo gani lakini ukinipatia bei tofauti kwa ukubwa wa ujazo, ninaweza kufanya uamuzi kwa kuangalia na uwezo wa kununua vile vile. Lakini seriously I need two of them.

Tafadhali nisaidie kwa hili na najua utakuwa umewasaidia na wengine pia.

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
Back
Top Bottom