Maisha gani?

Maisha gani?

you must be so naive kutokujua ndoa zote ziko hivyoo......

tangu utotoni mtoto wa kiume hafundishwi kazi za ndani kama kuosha vyombo kupiga deki etc.....mtoto wa kike ndio anambiwa afanye hivyo matokeo yake naye anajijengea hizo ni kazi za kike......sasa wewe leo uniambie wanaume wote hawako hivi nakushangaaa ni sawa uniambie nitafute sindano kny mchanga!

as you said diffrent strokes for different folks,so sidhani kama umeona ajabu sana kukutana na mtu ambaye anaoppose ndoa hapa...ni oppinion tu kama nyie pro marriage mlivyo!

Mimi mwenyewe kama nilivyosema sifagilii ndoa, lakini wanaopenda ndoa siwezi kuwakandya, wala siwezi kuikandya ndoa yenyewe, labda haifai kwangu na inafaa kwa wengine.

Tatizo wewe umekuja hapa na kuishambulia ndoa moja kwa moja kama haifai, halafu unafikiri kwamba ndoa zote ni za mfumodume.

Kati yangu mie ninayeacha room kwamba kuna baadhi ya ndoa hazina mfumodume, na wewe unayesema dunia nzima ndoa zote ni za mfumodume, nani naive?

Hujasikia kuna mama kaoa wanaume wawili katika ndoa yake, wote kawaweka ndani ya nyumba moja, hapahapa Tanzania. tena anawapa amri.

Sasa huyu naye utasema mtumwa katika hii ndoa? Na kama kuna huyu ambaye ana waume wawili, kuna wangapi ambao wana mume mmoja lakini hawataki wala hawaletewi mfumodume ndani ya nyumba?

Kukataa ndoa kwa sababu ya kuogopa mfumodume ni kutuambia kwamba huwezi kuchagua mwanaume atakayekufaa bila kukuletea mfumodume. Hili halituonyeshi kwamba wanaume hawa hawapo, linatuonyesha tu kwamba wewe umeshindwa kuwapata.

i think marriage is for fake people,mtu kama uko real ndoa ni matatizo ya kujitakia.....

utaambiwa mwanamke,ufue na kunyoosha nguo za mumeo,umpikie vyakula aina mbali mbali kiufundi na bado uwe mtaalamu wa kuzungusha kiuno...sasa hapa nani ambaye yuko real atataka huu utumwa??? fu...ck! wenye ndoa ni bunch of fake-as s people!

You are just too fake

unafikiri miaka 17 inakuja tu kwa mteremko??kuna mambo unachemsha then unajistukia, kama tulivo wanawake huwa tunatulia sana ila maji kuna wakati yanakuwa ya shingo na usipokuwa na washauri wazuri unafanya mambo ya ajabu sana

aaaiiiseee ndio nimejua nina safari ndefu mno.... Dah!

Mpende kiasi unachoweza...
Mheshimu mwanzo mwisho...
Mjali siku zote..
Kua mwaminifu...
Jitahidi umwamini kama hajakupa sababu za
kutokufanya hivyo alafu muombe Mungu/na na mwenzio nae atakua hivyo hivyo kwako.

Hapo you will waste your breath... mtu akiongea tu hivo ni beyond reasoning... nafikiri ndo maana most tume ignore tu!

hukuwa na haja ya kujikomba namna hio kwa zefainest,duh shame on you!

sasa ndo maisha gani haya wapendwa?

In blue will definitely do that... I love kukusanya knowledge...
inafanya uelewe mambo mengi saana in depth sio surface..

Boss in red hio kali... hebu dadafua...

hiyo ya mzunguko wa mwanamke na ku cheat
scientist wameigundua hivi karibuni...
na ina uhusiano pia na subcouncious mind
wanasema yai la mwanamke linapokuwa lipo tayari kupokea mbegu
mwanamke thru subcouncious anakuwa anatamani ku sex na mwanaume
ambae ni handsome na mwenye good health....hence good genes
wich means hapo uwezekano wa kucheat ni mkubwa kama kuna mtu wa aina hiyo
karibu yake,kumbuka hapa ni subcouncious mind ndo inampelekea hivyo

huwezi elewa mpaka uelewe subcouncious mind ni nini.

hiyo ya mzunguko wa mwanamke na ku cheat
scientist wameigundua hivi karibuni...
na ina uhusiano pia na subcouncious mind
wanasema yai la mwanamke linapokuwa lipo tayari kupokea mbegu
mwanamke thru subcouncious anakuwa anatamani ku sex na mwanaume
ambae ni handsome na mwenye good health....hence good genes
wich means hapo uwezekano wa kucheat ni mkubwa kama kuna mtu wa aina hiyo
karibu yake,kumbuka hapa ni subcouncious mind ndo inampelekea hivyo

huwezi elewa mpaka uelewe subcouncious mind ni nini.

- Genuinely Speechless-

Never mind PA she's keeping a dog but she's the one barking

Thanks PA... but she is such a minor thing to even consider putin' her in my worries column...

I genuinely suggest you do the same...

ashadii the power of subconscious mind ni kubwa sana
unaweza kumfanya mwenzio aweze ku cheat bila ya wewe kujua

Itabidi unipe darasa kuepesha hubby kufanya hivo aaisee...

Itabidi unipe darasa kuepesha hubby kufanya hivo aaisee...

ha haaaa
naogopa ukisoma na kuelewa waweza start to believe
he is cheating you everyday
na wewe uka get even lol
too much knowledge can be dangerous

umewahi pia jifunza how to read people thru their body language?????/
ukiijua hiyo hata mama yako mzazi hataweza kukudanganya....
mimi huwa naweza kumsoma mtu thru body language hadi naogopa lol

Back
Top Bottom