Maisha halisi nchini Marekani

Mkuu umenitisha! Unajua matajiri wa kimarekani lakini? Nitakutafutia..

Jerry Jones House Dallas, TX​

Making it to #8 on D Magazine’s list of the 100 Most Expensive Homes in Dallas 2017, Jones’ 14,044 square foot Mediterranean-style villa, has an estimated market value of a whopping 28.1 million! That’s not too shabby considering he paid “only” $6 million for it in 1992.

The massive Dallas mansion sits on 4.69 acres of land in an uber-wealthy Highland Park, Dallas, TX neighborhood, where only people with wallets like Jerry Jones will ever have the pleasure of living. Sorry peeps, unless you have millions in the bank, you’re not gonna bag one of the mega-mansions here…but hey, we can all dream, right?!
 
Bavaria, huyo ni mmojawapo wa Matajiri wa Dallas, nyumba yake ni USD 28.Million. Mahalia panaitwa Highland Park, ....unataka kuwa jirani yake?
 
Bavaria, huyo ni mmojawapo wa Matajiri wa Dallas, nyumba yake ni USD 28.Million. Mahalia panaitwa Highland Park, ....unataka kuwa jirani yake?
Of the eight in the Park Cities and Preston Hollow on the list, Andrew Beal and Jerry Jones were in the top 100, with net worths of $9.9 billion and $9.1 billion, respectively.

After that, you’ll have to exercise that scroll finger a bit before you get to Mark Cuban and Trevor Rees-Jones, who are tied at 247.

The list:

  • No. 78: Andrew Beal (Preston Hollow, net worth: $9.9 billion)
  • No. 86: Jerry Jones (Highland Park, net worth: $9.1 billion)
  • No. 247 (tie): Mark Cuban (Preston Hollow, net worth: $4.5 billion)
  • No. 247 (tie): Trevor Rees-Jones (Highland Park, net worth: $4.5 billion)
  • No. 261: Robert Rowling (Highland Park, net worth: $4.3 billion)
  • No. 273: Margot Birmingham Perot (Preston Hollow, net worth: $4.1 billion)
  • No. 289: Kelcy Warren (Preston Hollow, net worth: $3.9 billion)
  • No. 363: H. Ross Perot Jr. (Preston Hollow, net worth: $3.2 billion)
 
Hawa ni matajiri wanaoishi Highland Park Dallas...Hao ndio watakua jirani zako!!
 
Nimemkumbuka mzee wetu Edward Ngoyai Lowassa...Elimu, elimu , elimu. Wadanganyika na chuki zao kwa diaspora na kujilinganisha maisha yao na wao. Wenyewe gari, nyumba na kabiashara kidogo tu wanaona wametoboa, ndio basi utawaona kila siku samaki samaki mlimani city.
Exposure ni muhimu sana.
 
Wanaofanya kazi za kusafisha mitaro yetu ya barabara zetu, kuosha bakuli kwenye migahawa hapa Tanzania wanapoteza muda na utu wao?? Hebu heshimu kazi halali za watu wewe, and never look down on other people,

unaweza ukawa unajinadi kuuchukia ubaguzi , kumbe wewe ni mmbaguzi namba moja , ubaguzi sio wa rangi tu
 
Maisha ni hapa hapa Bongo kuna kila fursa.USA nakwenda kutembea tu si kuishi.

Halafu nina mifano mingi sijui ni bahati mbaya au ndio utaratibu wa huko.Wengi wana rejea wakiwa hawana watoto.
Unaenda lini kutembea USA mkuu, visa ulisha pata?
 
USA kuna opportunities nyingi kuliko Canada
Yes canada pia sometimes wana limitation hata ukipata Permanent residen yakwa kazi uliyoomba unaweza uka limitiwa usifanye kazi nje ya jimbo uliloingilia ,
 
6Was9, ni Mtazamo finyu wa maisha, waiters, ,Madereva wa daladala,Mama ntilie, wafagizi maofisi nk Kazi zao ni muhimu katika jamii kama kazi nyingine zozote zile, kwa kifupi zinakimu maisha yao.Na ni kweli ubaguzi sio wa rangi tu mkuu.
 
Mkuu mbona hakuna watu kwasisi tuliyo zoea kuishi kwa kuongea na watu si itakuwa ngumu kuishi kimya kimya bila ya kwenda kupiga story na washikaji wakitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinapoteza Muda ,nakurudhisha watu kiuchumi kama kujiwekea ratiba rti kwenda kijiweni kupiga story tena watu hesema kabisa anaenda c kupoteza poteza muda"
 
Ni kukosa exposure tu... huwezi linganisha hali ya maisha ya bongo na State hasa katika upande wa kazi, ajira na biashara ... !

Mtu amezunguka sana na baasha na cv zake kusaka kazi miaka zaidi ya mitqno na bachelor Degree yake, mwisho wa siku anapta akazi ya kumliapa 450 /mo , halafu anakuja kucomment bongo fursa nyingi 😃😃

Ajiulize tu mtu mwenye high school Diploma kaasasa analipwa s ngapi kazi za min wages zinafika hadi 15$ /hour , atajilinganisha naye??
 
Okay... ndio maana wa Kenya wengi na wasomalia wanavutana huko Texas .. nafikiri ni kwasababu ya sheria rafiki za kodi kwenye hilo jimbo , pamoja na hali ya hewa kufanna na ya East Africa kiasi..

Wakenya wengi huko wanazishambulia fursa balaa
 
Generally njia za kuingia ni kupitia

kusoma,
Utalii,
Ndoa/uchumba,
Kazi/ajira,
Uwekezaji,


Ni weqe kuangalia njia ipi itakuqa rahisi kwako kupata Visa kwa nchi husika unayogikiria kwenda ...!!!
 
Hivi kwanini Canada waliondoa ofisi zao za kuprocess visa ?

Nafikiri ukilipia Express ile visa yako itakuwa processed faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…