Maisha halisi nchini Marekani

Kizazi cha mashoga mna taabu
weye mwenye bikra ya nyuma hiyo... ndo mwenye shida unatuonea wivu bure tu....wkt na wewe una naniliu ya nya hiyo?? Tena km haijaguswa utapata hela sana..unajirengesha kijanja njoo tu...
 
Tatizo mkuu hatuoni mnawekeza huku nyumbani mbali ya kuomba tuwachangie mnapopata matatizo huko majuu.
 
Tatizo mkuu hatuoni mnawekeza huku nyumbani mbali ya kuomba tuwachangie mnapopata matatizo huko majuu.
Nafawafahamu wengi waliowekeza, lakini wengi ni kwa kujificha ndani ya makampuni au ndugu, sababu kubwa ni kuwa na wasiwasi kwamba si raia, na wanaogopa kupoteza mali zao zikitajwa! Napoandika sasa hivi kuna jamaa nayemfahamu kwa karibu wiki hii anashusha tractor zake njiani kuzipekeka Kigoma,.na anafanya study ya biashara ya magari ya mizigo.
Na kuhusu michango ambayo walioko US wanaomba kutoka TZ, sijui ni ipi, labda misiba, lakini ni utashi wa mtu tu, Marekani mambo ya mazishi ni ya mtu binafsi, na yanafanywa na Bima, baadhi ya watanzania na inawezakana ni wengi, wanao uchuro kuwa na Bima ya mazishi!
Niko US nina Bima ya kunizika mimi na mke wangu, na kiasi nacholipa kwa mwezi wala hakisumbui bajeti yangu.
Kwa watanzania wengi ile jadi ya kuchangia misiba/ harusi/ graduations wamekuja nayo mpaka US
Mojawapo ya siri ya kufanikiwa Marekani ni kujiwezesha kuyamudu maisha yako mwenyewe, na kujifunza kwa wenyeji wa hapa, lakini ukiwa Marekani na mentality ya Bongo itakutesa sana! Kwa kifupi kuna watanzania wengi wako Marekani kimwili, lakini kiakili na kimtazamo bado wako bongo! Ukija Marekani lazima utambue hii ni purely individualistic society!
Lakini pia, huu ni mtazamo wangu binafsi, kama nimeamua kuishi Marekani kwa nini nisizikwe huku, kwa nini niwaongize gharama watu wengine!
 
Mtoa mada namwelewa sana, US ukienda utatuliza akili, na Mora akabariki umetoka
 
Gharama za maisha zinategemea na jimbo unalokaa dah. Inabidi tuwachape fimbo watu humu, ilo ndo jambo la msingi kujua
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Watu wakishaishi nchi za wazungu wana-adopt zile tabia hasa wakiishi miaka mingi. Sio kwamba hawanaga pesa comrade.... Maisha ya watu wanaoishi nchi za wazungu kuna ubinafsi wa hali ya juu! Kuna kile kitu kwenye nafsi zao hao binadamu wa huko hasa hao wanaoishi majuu mfano ukimuomba mtu kitu atajiuliza maswali kadhaa mfano:- "kwanini aniombe mimi?!" "Huyu aliyekufa kwanini nimchangie mimi?!... kwani hapa hawezi kuzikwa?! "Mimi simjui" n.k

Nimekuwa na marafiki nje wengi kiasi, nikikaa nao wakija naona kabisa kuna mabadiliko makubwa ya tabia ukiwa huko.

Watu wana pesa lakini wameshabadilishwa tabia zimekuwa zinaendana na wa huko.


Si hayo tu hata maswala ya utumiaji wa muda mtu hubadilika. Huwezi kumkuta anapoteza muda hovyo akiwa huko tofauti na huku dunia ya tatu. Muda ni kitu cha thamani sana kwa mwanadamu ila wenzetu wanajua sana ku-deal na factor ya muda.
 
Hii dollar elf 2 inabaki ngapi baada ya kutoa matumizi, nazungumzia maisha ya kawaida.
 
Njoo mitaa ya Skid Row-Los Angeles utapata cha kusimulia. Ukitoka hapa uende Berverly Hill utakuwa na cha kuongea/kuhadithia.
 
Hii dollar elf 2 inabaki ngapi baada ya kutoa matumizi, nazungumzia maisha ya kawaida.

Mimikwa wiki mbili chakula haizidi $100 sina mambo mengi ya kupika kama wanawake.

Kwa mwez matumiz yangu hayazidi $1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…