Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

Anazungumzia Marekani hiyohiyo, mfafanulie inakuwaje mtu akifa kusafirisha inakuwa issue?

Tupe uzoefu tatizo huwa linakuwa nini?
tatizo watu hawataki kuleta mwili huko mtawaroga wasirudi marekani hasa mashangazi wanoko sana......mchawi ni ndg namwili utapelekwa kwa ndg.
 
Leonardo Da'Vinci ndio nwanasayansi niliyemsona na kumfuatilia zaidi ila sijawahi kuona uthibitisho wa hilo...

It's just a Rumour.Hakuna kitu kama hicho Caesar Borgia na Leonardo waliCross path pindi Leo alipoajiliwa na Borgia as an architect. Karibia 80% ya Genius wote hua hawajihusishi na mapenzi ya aina yoyote so ukaribu wa leo na mwajiri wake inawezekana ndio uliofanya watu wazushe kwamba ni wapenzi since Vinci hajawahi kuonekana na mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke.

Ni kama vile watu wanavyosema Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalene jambo ambalo sio kweli na mimi nishatazama documentary kuhusu jambo hilo ila halina uthibitisho dhahiri..

Hata huo ushoga wa juma lokole mimi siujui maana hakuna uthibitisho dhahiri juu ya hilo.

Huwezi kujua kwakua sio swala la ukweli. Na halina uthibitisho it's just a speculation.
kuhusu hilo la Yesu mna mslia Magdalena......kuwa na uhusiano wa kimapenzi siyo mpaka uingize dushele lako kwa kitu ya baby.....ile tu kuwa romantic/ukaribu/upendo/kusaidia/ku patpat!/kulainika/kukaa peke yenu sometimes/kusisimka mnapoonana/kuregea macho ukimtizama/kunifulia mpaka nguo za ndani/kunilembulia nk..hii na ikifanyika kwa mtu ya jinsia ingine!! Weye tayari ni mupenzi.....waafrica wao wanajua ni kuzamisha riji-lombo loote mpaka mzae mitoto mnakosea.....ukifua pichu angu weye ni mupenzi tyuuu..
 
Mikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.

Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.
usitulinganishe na watu ambao hawana akili/elimu/upeo/ufahamu ..vilaza wakubwa wale/life failure/watumwa milele.na wanafurahia/walio laaniwa ajili ya uchawi wa bibi zao....kwanza ile ardhi tu ya pale unapo kaa! Unayopewa na kijiji! Ni mtaji tosha kabisa...
 
Habari JF

leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani.

Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani, lakini fursa zilizopo ndo zinatufanya tuelendelee kunganagia haya maisha, ndomana maisha yangu ya uwekezaji Yapo africa lakini utafutaji ni marekani kwa vile tu sijafikia malengo yangu ya maisha.

Miaka 6 ndani ya nchi ya marekani, ninaishi kwa Green card, nina ruhusiwa sasa kuomba uraia lakini mimi kwangu huwa si kipaumbele, maana nina uwezo wa kutoa na kuingia na kukaa nje ya marekani muda wa miezi sita.

Nimeishi majimbo na kufanya kazi kampuni tofauti tofauti, Mara nyingi nafanya hivyo tu ili kujifunza maisha halisi ya marekani. Mwaka jana nimefanya kampani saba na kuishi majimbo matatu. kufanya kazi marekani huwa nafanya tu kukaa bila kazi. nilichokifanya miaka minne ya marekani niliweka nguvu kuwekeza nyumbani jambo ambalo nilifanikiwa na kunipa huakika wa kuishi hapa bila kuwa na kazi.

Katika Harakati zangu za kucompare africa na marekani sehemu nzuri ya kuishi, niligundua africa kinachotufelisha ni uchumi ila ukiwa na pesa napendekeza kuishi afrca badala ya marekani. Marekani ni sehemu tu ya utafutaji ikiwa africa huna cha kupoteza(maono yangu)

MAZURI YA MAREKANI.
naipenda nchi ya marekani ni nchi ambayo inamuwesha kila mtu bila kujali nchi uliotokea kufanya lolote na ukafanikiwa, tofauti na nchi kama vile urusi, china. marekani ni nchi ya kila mtu kufanya anachoweza yaani nchi ya fursa. ukitaka kuwa doctoe, nurse nk.. hata kama umefeli elimu katika nchi yako marekani kuna njia nyingi za kukuwezesha ukarudi shule na ukatimiza ndoto zako.

Ikiwa ndo mara ya kwanza unaingia marekani, Kitu cha kwanza jifunze sana kingereza, kitu cha pili somea fani yeyote, cha tatu kuchuka Credit card. ukiwa na hayo matatu nchi ya marekani umemaliza mambo mengine yanakuja, na hayo yote inawezekana kufanyika kwa mtu yeyote anaishi marekani kihalali.

kazi na makazi, siwezi kushauri kuishi kwenye miji kama Chicago, New york, washington nk.. mara nyingi miji hii kazi zake ni professional. tena ina gharama kubwa ya rent. badala yake nenda kwenye majimbo kama dakota, kenctuky , mara nyingi ni kazi za viwanda au Entry job alafu rent iko chini.

Watu wengi kutoka nje ya marekani wanafanya ENRTY JOBS kutokana na lugha kuwa ngumu alafu pesa zinawachanganya hawataki kusoma.

Marekani kuna uraisi wa kumiliki nyumba gari na kufanya biashara unayotaka(biashara ya import chakula na kuuza kwenye maduka ya africa inalipa). hata kama huna huwezo huo. unaweza kutumia CREDIT yako na kupata nyumba, gari, au pesa baadae utalipa taratibu. kikubwa deal na Scores zako kuwa HIGH, na Credit ni kitu muhimu sana marekani.

Kazi ni nyingi na unaruhususiwa kufanya kazi masaa yote unayotaka hata kuwa na zaidi zaidi ya kumi, Mfano mimi nina ENTRY JOBS ndo always huwa nafanya kazi za aina hii, Kazi yangu ya Sasa Ni HMI CLASS tunatengenza class, nafanya kazi masaa 8 kila siku nalipwa $21 kwa saa na overtime $27, awali ilikuwa GE Appliance nilikuwa nalipwa $19, Before GE ilikuwa Fedex nilikuwa nalipwa $19.50, kabla ya Fedex ilikuwa Amazon $20.

Now kazi yangu ya sasa nafanya masaa ninayotaka nikisema kwamba nataka nipate $5000 mwezi huu inapatikana na gharama zangu za maisha ya marekani hazifiki hata $600(bills). So hapo nina kitu cha kufanya tayari africa. Imagine miez 12 ya kazi nikiruid africa huwez kusema tunarudi tumechoka.

Fursa nyingine ambayo kwangu huwa naona ni muhumu sana hapa marekani ni technology, Iphone ilipo marekani sio iliopo africa, chrome inavyofanya kazi marekani ni tofauti kabisa na africa, System za simu na Feature baadhi za Social Media ziko tofauti. kuna software kama vile Stripe huwezi kujiunga ikiwa unaishi africa, so mambo kama hayo ni muhimu sana na ni fursa kubwa.
Hat banl system ni tofauti kabisa zinavyotumika africa.

So kuishi marekani kuna fursa ya kuelimika pia, saivi ukimwabia banker maswala ya wallet pay, wireless pay, finger pay haya ni mambo mageni kwake au anasikiaga tu, ila wewe unaelimika kutoka na fursa ya mazingira unayoishi

ITAENDELEA.......
NO PM
Itaendelea nakuja
 
Ninachoweza kukugurentee ni kwamba Bongo watu wapo smart kichwani lakini maisha yanawachapa, hili haliwezi kukuta Marekani.

Huwezi kuwa Marekani eti unaamka huna mia uende ukamboom mtu.

Ninaamini kwa dhati kabisa huko mbinguni Wabongo hawaendi motoni, moto wameshaupata hapahapa duniani.
Ukweli kama tutafika motoni basi moto utakuwa huna cha kupoteza juu yetu maana tayari tushaupata.

Embu fikiria nina kazi rasmi,nina grocery(japo ya kawaida) lakini hadi leo natafuta wa kumboom elfu kadhaa.Unaenda kukopa ktk bank zetu mara wanakupigia hesabu ambayo inakuletea kiasi kisichoweza kukuinua ktk biashara zako(riba kubwa&limited period)

Mwisho unaenda kikoba nao wanakutakisha urejeshe kbla hata hujaanza kuzalisha,

kule TRA anakukadilia utadhani biashara ishasimamia miguu miwili!!

Kule familia(watoto kadhaa) na kule wategemezi wanatega mkono.bado masela mtaani wanataka uwawezeshe!!
Ney(in mhindi's voice).Bora niwe mbwa wa marekani kuliko kuwa mwana wa nchi(in mpoto's voice)!!
 
Ni uvivu tu, ndio maana utakuta mtu anapiga debe apewe mia mbili mia mbili siku nzima wakati kijijini kwao kuna mapori ambayo anaweza tumia nguvu hizohizo kufyeka na kuanzisha mashamba..
Hivi unacheza na wan kijiji/ndugu au bado mdogo weye??.....kwanza unahitaji utaaalamu wa kuvuna na kupanda ndo maana kuna shule za agriculture......pili wana ndugu maskini mlio wengi ni sumu mbaya sana japo si wote....hata km umetoka kimaisha watakula kwa wanao.......watakuroga kukufitini mpaka ukome.....Lkn Dsm hkn cha undugu kazi kazi tu! Upate usipate Utajiju....
 
Mimi nimekaa Marekani mji wa Washington. Ubaya wa Marekani hakuna undugu kila mtu kivyake kiutafutaji. Maisha ya Marekani ni magumu sana kwa kiingereza tunaita hand to mouth. Kwa gharama ya $600 kwa mwezi naona mtu huyo anapata mateso makubwa. Kama alivyosema kuwa anaweka akiba ya $4500 kwa mwezi. Kwa Afrika ukiwa unajishughulisha hicho kiasi ni kidogo kwa mfanyabiashara wa Afrika. Kinachotuharibu hapa Afrika hatuna utaratibu mzuri wa maisha. Familia tegemezi za afrika huwezi linganisha na familia ya America ya mtu mmoja, mkewe na mtoto. Nawashauri hapa kwetu Afrika kuna fursa nyingi sana kuliko America ambapo hata usingizi hupati kwa kudandia kazi za kuhama hama kwa siku.
usa ni usa tu.....tatizo uki make africa wivu ni waziwazi...km jiwe alivyowateka matajiri
..kwa nini???eti Rais anaetakiwa kukulinda ili umlipe kodi anakuwa jambazi....kuna usalama hapo??? Mengi ndo aliwa Weza tu...ukipanga kumteka anakulipua mapemaaaa.Itv..km alivo mfanya kamanda tryfoni Maji...mpaka akafa kwa hofu!
 
Habari JF

leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani.

Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani, lakini fursa zilizopo ndo zinatufanya tuelendelee kunganagia haya maisha, ndomana maisha yangu ya uwekezaji Yapo africa lakini utafutaji ni marekani kwa vile tu sijafikia malengo yangu ya maisha.

Miaka 6 ndani ya nchi ya marekani, ninaishi kwa Green card, nina ruhusiwa sasa kuomba uraia lakini mimi kwangu huwa si kipaumbele, maana nina uwezo wa kutoa na kuingia na kukaa nje ya marekani muda wa miezi sita.

Nimeishi majimbo na kufanya kazi kampuni tofauti tofauti, Mara nyingi nafanya hivyo tu ili kujifunza maisha halisi ya marekani. Mwaka jana nimefanya kampani saba na kuishi majimbo matatu. kufanya kazi marekani huwa nafanya tu kukaa bila kazi. nilichokifanya miaka minne ya marekani niliweka nguvu kuwekeza nyumbani jambo ambalo nilifanikiwa na kunipa huakika wa kuishi hapa bila kuwa na kazi.

Katika Harakati zangu za kucompare africa na marekani sehemu nzuri ya kuishi, niligundua africa kinachotufelisha ni uchumi ila ukiwa na pesa napendekeza kuishi afrca badala ya marekani. Marekani ni sehemu tu ya utafutaji ikiwa africa huna cha kupoteza(maono yangu)

MAZURI YA MAREKANI.
naipenda nchi ya marekani ni nchi ambayo inamuwesha kila mtu bila kujali nchi uliotokea kufanya lolote na ukafanikiwa, tofauti na nchi kama vile urusi, china. marekani ni nchi ya kila mtu kufanya anachoweza yaani nchi ya fursa. ukitaka kuwa doctoe, nurse nk.. hata kama umefeli elimu katika nchi yako marekani kuna njia nyingi za kukuwezesha ukarudi shule na ukatimiza ndoto zako.

Ikiwa ndo mara ya kwanza unaingia marekani, Kitu cha kwanza jifunze sana kingereza, kitu cha pili somea fani yeyote, cha tatu kuchuka Credit card. ukiwa na hayo matatu nchi ya marekani umemaliza mambo mengine yanakuja, na hayo yote inawezekana kufanyika kwa mtu yeyote anaishi marekani kihalali.

kazi na makazi, siwezi kushauri kuishi kwenye miji kama Chicago, New york, washington nk.. mara nyingi miji hii kazi zake ni professional. tena ina gharama kubwa ya rent. badala yake nenda kwenye majimbo kama dakota, kenctuky , mara nyingi ni kazi za viwanda au Entry job alafu rent iko chini.

Watu wengi kutoka nje ya marekani wanafanya ENRTY JOBS kutokana na lugha kuwa ngumu alafu pesa zinawachanganya hawataki kusoma.

Marekani kuna uraisi wa kumiliki nyumba gari na kufanya biashara unayotaka(biashara ya import chakula na kuuza kwenye maduka ya africa inalipa). hata kama huna huwezo huo. unaweza kutumia CREDIT yako na kupata nyumba, gari, au pesa baadae utalipa taratibu. kikubwa deal na Scores zako kuwa HIGH, na Credit ni kitu muhimu sana marekani.

Kazi ni nyingi na unaruhususiwa kufanya kazi masaa yote unayotaka hata kuwa na zaidi zaidi ya kumi, Mfano mimi nina ENTRY JOBS ndo always huwa nafanya kazi za aina hii, Kazi yangu ya Sasa Ni HMI CLASS tunatengenza class, nafanya kazi masaa 8 kila siku nalipwa $21 kwa saa na overtime $27, awali ilikuwa GE Appliance nilikuwa nalipwa $19, Before GE ilikuwa Fedex nilikuwa nalipwa $19.50, kabla ya Fedex ilikuwa Amazon $20.

Now kazi yangu ya sasa nafanya masaa ninayotaka nikisema kwamba nataka nipate $5000 mwezi huu inapatikana na gharama zangu za maisha ya marekani hazifiki hata $600(bills). So hapo nina kitu cha kufanya tayari africa. Imagine miez 12 ya kazi nikiruid africa huwez kusema tunarudi tumechoka.

Fursa nyingine ambayo kwangu huwa naona ni muhumu sana hapa marekani ni technology, Iphone ilipo marekani sio iliopo africa, chrome inavyofanya kazi marekani ni tofauti kabisa na africa, System za simu na Feature baadhi za Social Media ziko tofauti. kuna software kama vile Stripe huwezi kujiunga ikiwa unaishi africa, so mambo kama hayo ni muhimu sana na ni fursa kubwa.
Hat banl system ni tofauti kabisa zinavyotumika africa.

So kuishi marekani kuna fursa ya kuelimika pia, saivi ukimwabia banker maswala ya wallet pay, wireless pay, finger pay haya ni mambo mageni kwake au anasikiaga tu, ila wewe unaelimika kutoka na fursa ya mazingira unayoishi

ITAENDELEA.......
NO PM
Ukitoka na elimu Yako uliypdomea huku nyumbani Africa ( fani) huko haeaiambui mkuu. Au mpaka ukasome hukohuko
Naomba ufaanuzi kama itakupenfeza
 
Huwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni
Mama D km hujaolewa twende zetu bwana ..usiogope kuchanganyikiwa...hata mifugo tutachunga tu...kwanza haturudi....watakuona wapi??? Tangu utoke kijijini ukiwa mdogo hakuna anae kujua leo..... Kwani km ukichanganyikiwa kuna mtu anakudai???? Tatizo watu wanaiba hela wanakopa hovyo wanatamba hovyo hao ndo waoga kurudi kijijini/nchini..
... Lkn wengine sis ahaaa! Hata jirani hanijui
..
 
Kufanikiwa ni lazima mtu awe tajiri? Tatizo lenu kubwa ni hilo, yaani mna high expectations na diaspora. Mtu anaweza enda ishi Marekani asiwe tajiri lkn akawa na maisha mazuri na yenye standard zinazoeleweka kuliko hapa nyumbani.
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba si kila anaeenda US au Europe lazima apate utajiri au arudi nyumnani ajenge Majumba la hasha, kikubwa ni ahueni ya Maisha ambayo mtoa mada ndio anayoizungumzia hapa. Suala zima la mafanikio ni la mtu na mtu, hata hapa Bongo kuna watu hadi wanakufa wako broke maisha yao yote.
My main point is, kwenda kuishi marekani si lazima upate utajiri ila ahueni ya Maisha ipo kulinganisha na hapa nyumbani. Ukibisha hilo basi huna akili.
yaani km weye ni mdada ni tag ...natafutaga watu km nyie sijawahi pata.
 
Mleta uzi leta picha kisindikiza topic yako[emoji848]
 
Je maisha ni nini? Kwenda hospitali isiyo na uwezo wa kujua tatizo lako, kwenda shule au chuo usiwe na uhakika wa kuelimika, kulima kwa njia ngumu bila vifaa, na kukosa soko au kupigwa marufuku na serikali ya kuuza unapotaka, achilia mbali, kodi, tozo zisizoeleweka, polisi kukubambikia watakalo, rushwa, wizi kila sekta?
Maisha ni zaidi ya kipato.
kwani unadhani makulima hayo yatakuelewa basi!!! Yakisha kula vihepe yakavembewa yamemaliza.....yamejawa na wivu wa kichawi tu....hayana lolote!
 
Kwahiyo unaenda kufanya nini kama hakuna mafanikio?.........unapoteza 20yrs ughaibuni, unarudi kuanza maisha upya hapa bongo that's life failure, na wengi wamefeli maisha kwa kufuata mawazo ya motivational speaker kama mtoa uzi,

anapotosha vijana kwa kuweka mindset yao kuwaza Marikani, US isn't as simple kama alivo andika, hayo yote kasimliwa na watu walio feli maisha ya ughaibuni, maratino wengi kutoka Mexico na latini America ni machokora hawana chochote na hawana nyuma au mbele wanaanza kua drug addicts tena ni majirani na Us ndo uanze kudaganya Msabaa wa bongo aende kupoteza mda na pesa zake, after 20yrs arudi vile vile,na kuonyesha picha za barafu tu.

Kwa wanao ende ughaibuni ni 10% ndo wanafanikisha tena their cases are special 90% wanabakiza stori na picha za barafu huo ndo ukweli, naongea hili out of experience en peacticle examples kwa ndg jamaa marafiki na mimi mwenyewe.
sisi kule kwetu huyo tunamuona shujaaa karudi....km kuna chochote mtaji tunampa asukumie maisha....japo kakosa lkn alikuwa na nia nzuri....na wengine wanaenda vilevile!...japo hata kaiona barafuu wewe je?? Wa hivi hatakusogea Dsm hapo ni shida mnoo!...ubakie mkoani mpaka kifo.....kuyachanganya mamtu km haya rudi umevaa ndara na pensi iliyotoboka kabisaaa...
 
Naona unaingia Jumba la Popobawa kinyumenyume
Haina shida.. Kuumbe mnafaidiga sana mkuu? afadhali litanisaidia kuchamba! Mbona mavi yanatokaga bure?.. Kwani si kidogo tu au! ...... unanionea wivu wewe Mkuu.nitakuunga!! yaani mkuu baba usiwe na hofu...halafu unanenepaaa lainiii!..nasikia yanatoaga na hela...
 
Back
Top Bottom