Maisha halisi ya secretary POMPEO

Maisha halisi ya secretary POMPEO

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Ni kijana wa kitanzania, umri ni 20's, sijaoa wala sina mpenzi, sina MTOTO HATA MMOJA lakini NINA NYUMBA 2 na GARI MOJA.

Elimu nina Degree ya Business.

Nikiamka asubuhi sa11 alfajiri nafanya mazoezi, baada ya hapo naoga halafu nakunywa maziwa nusu lita na maji lita 1 then naenda kazini.

Sa4 asubuhi nikiwa kazini napata breakfast (nzito)

Saa saba mchana napata Mlo wa mchana (sio chakula cha mchana)

Saa9 alasiri napata Glass 1 ya Red wine [emoji485]

Then natoka kazini sa11.

Nyumbani nafika sa12 na nusu jioni, napumzika mpaka sa2 usiku, saa 2 usiku naangalia taarifa ya habari, sa4 usiku nakula matunda nakunywa na maji mengi nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom