Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

Wakati mwenda zake anatumia nguvu kupambana na upinzani mbona ulikua unashangilia au akili hizi zimekujia leo?
Hatupo na lissu,tupo na Tanzania,hata huyo lissu naye ameridhika kukaa kando akiangalia Tanzania tuitakayo ikitimizwa kwa vitendo cha ajabu eti maccm yamechukia,yafe kabisa kmmke.
 
Mama aendelee tu hadi 2030
Chaguzi ni kuingiza Taifa kwenye gharama tu
 
A bumpkin bum.
Mama Samia anasema Watanzania wa rahim sana, wanampongeza sana wakati yeye anaona kaanza padogo tu.

Wanampongeza sana kwa sababu walipigwa loba kali, sasa mtu aliyepigwa loba kali akakaribia kushindwa kabisa kupumua, hata ukimfungulia kidogo tu ile loba aanze kupumua tu, atakushukuru sana.
 
Mwendazake aongezewe kuni zakutosha na apewe adhabu ngumu sana

Mpuuzi sana yule
 
Wananchi wanaomba kutumia uwanja wa Chata kwa ajili ya kuanikia mahindi na mihogo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Huna haja ya kushangaa kwasababu maisha ni gurudumu.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…