Na yangekuwa fair yasingekuwa maisha.👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Blaza life inahitajika uwe na despline ya hali ya juu...
Yaani usome usisome wewe kuwa na despline ya hali ya juu...
Mkuu despline muhimu sana..Unachosema ni kweli maana unaambiwa msukuma alikuwa anapewa hela kipindi hicho haibi Ata Mia enz hzo hakuna cash point anafikisha mpka kwa maboss husika hicho ndicho kilichompa mtaji Baada ya kumaliza contract zao
kaka unavoenda vitani unatakiwa ubebe dhana inayoendana na adui yako, elimu ni dhana ya kupambana na ujinga sio umaskini👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Ni hivi hela haitafutwi kwa akili ya darasani👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Despline 🙅🏽 ( Mzee wangu Father Leo kaandika hivi , alinambia we need to be attentive and embrace despline.Blaza life inahitajika uwe na despline ya hali ya juu...
Yaani usome usisome wewe kuwa na despline ya hali ya juu...
Discipline ya hali ya juu inakuaje mkuu?Blaza life inahitajika uwe na despline ya hali ya juu...
Yaani usome usisome wewe kuwa na despline ya hali ya juu...
Experience na elimu ya mtaa ina play kwa kiasi kikubwa kuliko kwenye kumeza madude ya vitabu👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure