Maisha hayako fair kabisa

Maisha hayako fair kabisa

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma

👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa

Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
 
Na yangekuwa fair yasingekuwa maisha.
 
Unachosema ni kweli maana unaambiwa msukuma alikuwa anapewa hela kipindi hicho haibi Ata Mia enz hzo hakuna cash point anafikisha mpka kwa maboss husika hicho ndicho kilichompa mtaji Baada ya kumaliza contract zao
Blaza life inahitajika uwe na despline ya hali ya juu...

Yaani usome usisome wewe kuwa na despline ya hali ya juu...
 
Kwenye maisha kuna kitu huitwa

"Area of shining"

Unaweza kusoma ualimu Ila ukawa star kupitia kuchoma nyama

Na aljyesomea upishi wa kuchoma nyama akawa star kupitia kufundisha.

wazungu huwa wanatabia ya kufanya sparking kwa watoto wao wakiwa bado wadogo.

Hawajitafuti Sana watoto wao.

Hao journalist waropakaji ambao hawajaenda shule wapo sahihi ndo maana wanaonekana maana Kama kuropoka tu ingekuwa ndo njia ya kuwa journalist watu wangeropoka Sana .
 
Kikubwa ni uwe na uwezo wa kutengeneza kipato chako, hizi elimu ni nzuri ila kuzitegemea 100% utachelewa sana hasa ukitaka ufanye kitu kulingana na proffession yako.

Biashara na soko linachangia pakubwa kwenye kuua proffesionalism kwenye mambo mengi hasa huko kwenye media.
Soko huko linahitaji waropokaji wenye weledi na sio wataalamu wabobevu. Jamii pia inahusika.
 
Unachosema ni kweli maana unaambiwa msukuma alikuwa anapewa hela kipindi hicho haibi Ata Mia enz hzo hakuna cash point anafikisha mpka kwa maboss husika hicho ndicho kilichompa mtaji Baada ya kumaliza contract zao
Mkuu despline muhimu sana..
Naona kuna watu wanafeli kisa kutokua na despline kuna watu wanakaa kwa mazoea
 
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma

👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa

Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
kaka unavoenda vitani unatakiwa ubebe dhana inayoendana na adui yako, elimu ni dhana ya kupambana na ujinga sio umaskini
 
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma

👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa

Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Ni hivi hela haitafutwi kwa akili ya darasani
 
Experience na elimu ya mtaa ina play kwa kiasi kikubwa kuliko kwenye kumeza madude ya vitabu
 
Back
Top Bottom