Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃

Kuna muda mpaka unatamani ubebe kimya kimya tu, ila ukitafakari zaidi unaona ni heri nusu shari kuliko shari kamili.

images

Hahahaha haya mambo unaweza ukampiga mtu mpaka ukapelekwa polisi
 
.....pole mkuu. Hicho ulichoona (kigezo Cha maumbile) ndio Mara nyingi kinawafanya wawe masingo mama. Wanakuwa viburi na micharuko kwa waliokuwa wamebahatika kuwa na ndoa kwa sababu ya kufuatwa fuatwa na wanaume wengi.

Wengine wanakuwa wadangaji na wengine wanafuata wanaume wenye pesa au mwonekano bila kuangalia future yao ikoje.
 
Acha fikra potofu kuwa single mother haimuondolei kuwa mke bora, kwamba wewe ma ex wako wote huwa unapasha kiporo Kama ni mwanamke mzuri umeona anakufaa oa kaka usimfikirie kasumba unaweza ukaoa ambaye hajazaa na akazingua vilevile
 
Back
Top Bottom