Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Tatizo kubwa sana tulilonalo sisi Wanadamu ni tabia ya kumchagua Mke au Mume kwa muonekano wake wa nje.

Ukitaka kuishi maisha ya amani katika ndoa kamwe usimchague Mke au Mume kwa kuvutiwa na muonekano wake wa nje.

Anzisha mahusiano ya ndoa na mtu mnayeelewana kwa dhati bila ya kujali muonekano wake wa nje. Vigezo muhimu vya mchumba wako viwe tabia zake na siyo ukubwa wa makalio au uzuri wa umbo na sura.

Amini nakwambia mtu ni tabia, na ukioa mtu au kuolewa basi umeoa au kuolewa na hizo tabia zinazomwakilisha huyo mtu.

Ukioa mtu mwenye tabia nzuri, utaishi katika ndoa nzuri. Ukioa mwenye tabia mbaya hata kama sura yake na umbo lake ni zuri bado ndoa yako itakuwa mbaya.

Binadamu ni tabia, siyo sura wala umbo.
 
Bro acha mi bnafsi demu ananipenda ila single mother nikadhani sio tatizo kibaya yule jamaa kamtelekeza na mtoto ila mother yupo ofisi huyo demu ana mshahara mzuri kwake sio kesi kumlea mwanae

Tatizo la kwanza jamaa yake siku ya father's day kampost status🤣🤣🤣
Kingine kamsave mylove

Nikaachana na mwanamke japo ananishobokea

Bro Sina mbaya kama mumewe yupo hai atakuwa na option mbili just move on
 
Jiulize ina maana huyo baba mtoto hakuona hizo sifa nzuri mpaka akaingia mitini? Shtuka bro unaigiziwa! Hakuna mwanaume anayeweza kumuacha mwanamke wife material tena mwenye mtoto wake! Huyo ni mali ya Kizega SACCOS

Daaah point 100%
 
Back
Top Bottom