Hahahaha haya mambo unaweza ukampiga mtu mpaka ukapelekwa polisiKuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃
Kuna muda mpaka unatamani ubebe kimya kimya tu, ila ukitafakari zaidi unaona ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
Ila kweli Mkuu umenena vizuri, ukijiuliza haya maswali unaweza kufanya vizuriBaba yake mtoto yuko wapi, waliachanaje na mama yake.? ukijiuliza hayo utajua pakuanzia
Hapa ndiyo changamoto inapozidi kuwa kubwa.Sema bado anaweza asikupe majibu ya ukweli.
Unahisi tangu uwe nawe mambo yako yanaenda vizuri kimichongo?Dah kuna muda najipa moyo ila inaogopesha .
Hahahaha Mkuu hii hatariSolution hapo ni kwenda kumuua huyo mzazi mwenzake