Maisha hayana fomula lakini yana siri nyingi. Chukua hizi 11 kama zitakufaa

Dah wana si wana ila kikubwa tukikutana bar tukalewa nikalopoka kazi yangu na wao wakanipanga ni TISS basi kila kitu uwa tunakiacha huko huko bar.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Urafiki wowote lazima uwe unabenefit ..unconditionally love amna apa duniani iyo utaipata kwa wazazi tu
 
Jifunze ku acknowledge source mkuu πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ˜Š

Story ya Denis mpagaze na msimuliaji ni annanias edger...
 
Motiveshino spika wengi wenu huwa mna njaa njaa sana na kufake fake maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…