Church Boyy
New Member
- May 18, 2024
- 1
- 1
DaaaahhForm 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
GPA is the worst criteria for hiring. ~Elon Musk
Utajua hujuiWTH!!
Iko wap iyo habari.Jidanganye , ukipata muda tafuta habari fulani inasema daktari afungwa miaka 200 kwa uhujumu uchumi .
Ukimaliza nitafute nikuambie kitu
🙄🙄Jidanganye , ukipata muda tafuta habari fulani inasema daktari afungwa miaka 200 kwa uhujumu uchumi .
Ukimaliza nitafute nikuambie kitu
Tena huko duniani ndio usiseme,watu kama akina billgate wamesoma si kwa uhitaji wao ndio maana waliishia njiani.Wale wale, akili ndogo, "kwa vile Mond aliishia LA Saba, na, ana Mali, hata watoto wangu wasiposoma, wanaweza kuwa matajiri"
MTU yoyote anaweza kumiriki hizo gari, sio jambo LA ajabu, formula yako ya maisha, IPO applicable bongo tu, ambapo fulsa za wasomi kutumia ujuzi, wao kutengeneza ukwasi, ni haba,
Dangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,
Dogo umeandika Upumbavu tu unamatatizo ya kisaikolojia yaitwayo inferiority complexForm 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOSView attachment 2994677
HuyuSo umeamua kukopi tweet ya SirJeff Denis?
Msomi gani wewe hujui kujenga hoja zaidi unatukana na kufoka mpaka kwenye maandishi??uko frustrated na jambo gani??ajira,pesa au mapenzi??Dogo umeandika Upumbavu tu unamatatizo ya kisaikolojia yaitwayo inferiority complex
hatuendi shule kutafuta utajiri wa Mali tunaenda kutafuta maarifa ili yatusaidie kuishi na kujenga jamii inayotuxinguka
Utajiri unatafutwa tu, kwa njia za ujasiliamali na haubagui mtu
We fala kama wewe unadhani bila mtu aliesomea udaktari ukiumwa itakuwaje??
Bila ya wataalamu wa mifumo ya mawasiliano utapost vipi upumbavu wako
Kwenye nchi zilizonyooka we hutoboi ni hapa tu ccm imewadekeeza mpaka mna kiburi Cha kutukana wasomi
Hivyo vijihela vya majini na utapeli visikutie kiburi dogo
Heshimu wengine na ujue tunategemeana
Maalufu = Maarufu.....Usomi wa kutojua hata lugha mama tutatobolea wapiTena huko duniani ndio usiseme,watu kama akina billgate wamesoma si kwa uhitaji wao ndio maana waliishia njiani.
Watu maalufu na wenye utajiri mkubwa wengi hawana vyeti vya kutisha mashuleni.
Tofauti ya usomi wa wenzetu na wetu ni moja,tunasoma ili tufanikiwe kiuchumi,wenzetu wanasoma ili kutatua changamoto kwa ujuzi watakaoupata.
Mimi sio msomi kwakweli wala usinishangae.Maalufu = Maarufu.....Usomi wa kutojua hata lugha mama tutatobolea wapi
Wew hayo magari mbona mabasha wa kiarabu wanatoa ukitoa tigo yako waweza pataForm 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOSView attachment 2994677