Maisha hayana formula

Maisha hayana formula

Utajua hujui
 
Wale wale, akili ndogo, "kwa vile Mond aliishia LA Saba, na, ana Mali, hata watoto wangu wasiposoma, wanaweza kuwa matajiri"
MTU yoyote anaweza kumiriki hizo gari, sio jambo LA ajabu, formula yako ya maisha, IPO applicable bongo tu, ambapo fulsa za wasomi kutumia ujuzi, wao kutengeneza ukwasi, ni haba,
Dangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,
Tena huko duniani ndio usiseme,watu kama akina billgate wamesoma si kwa uhitaji wao ndio maana waliishia njiani.

Watu maalufu na wenye utajiri mkubwa wengi hawana vyeti vya kutisha mashuleni.

Tofauti ya usomi wa wenzetu na wetu ni moja,tunasoma ili tufanikiwe kiuchumi,wenzetu wanasoma ili kutatua changamoto kwa ujuzi watakaoupata.
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Dogo umeandika Upumbavu tu unamatatizo ya kisaikolojia yaitwayo inferiority complex

hatuendi shule kutafuta utajiri wa Mali tunaenda kutafuta maarifa ili yatusaidie kuishi na kujenga jamii inayotuxinguka

Utajiri unatafutwa tu, kwa njia za ujasiliamali na haubagui mtu

We fala kama wewe unadhani bila mtu aliesomea udaktari ukiumwa itakuwaje??

Bila ya wataalamu wa mifumo ya mawasiliano utapost vipi upumbavu wako

Kwenye nchi zilizonyooka we hutoboi ni hapa tu ccm imewadekeeza mpaka mna kiburi Cha kutukana wasomi

Hivyo vijihela vyako vya majini na utapeli visikutie kiburi dogo
Heshimu wengine na ujue tunategemeana
 
Dogo umeandika Upumbavu tu unamatatizo ya kisaikolojia yaitwayo inferiority complex

hatuendi shule kutafuta utajiri wa Mali tunaenda kutafuta maarifa ili yatusaidie kuishi na kujenga jamii inayotuxinguka

Utajiri unatafutwa tu, kwa njia za ujasiliamali na haubagui mtu

We fala kama wewe unadhani bila mtu aliesomea udaktari ukiumwa itakuwaje??

Bila ya wataalamu wa mifumo ya mawasiliano utapost vipi upumbavu wako

Kwenye nchi zilizonyooka we hutoboi ni hapa tu ccm imewadekeeza mpaka mna kiburi Cha kutukana wasomi

Hivyo vijihela vya majini na utapeli visikutie kiburi dogo
Heshimu wengine na ujue tunategemeana
Msomi gani wewe hujui kujenga hoja zaidi unatukana na kufoka mpaka kwenye maandishi??uko frustrated na jambo gani??ajira,pesa au mapenzi??

Bongo hapa ujifanye unasomea changamoto😂😂😂,unatuona sisi mayai eti??

Maliza shule ukasubmit maombi ya kazi usitufpotezee focus hapa🤣🤣🤣
 
Tena huko duniani ndio usiseme,watu kama akina billgate wamesoma si kwa uhitaji wao ndio maana waliishia njiani.

Watu maalufu na wenye utajiri mkubwa wengi hawana vyeti vya kutisha mashuleni.

Tofauti ya usomi wa wenzetu na wetu ni moja,tunasoma ili tufanikiwe kiuchumi,wenzetu wanasoma ili kutatua changamoto kwa ujuzi watakaoupata.
Maalufu = Maarufu.....Usomi wa kutojua hata lugha mama tutatobolea wapi
 
Haya sasa, wasomi na vilaza wanashindana kuporomosheana mitusi.

Kazi kwelikweli
 
Vijana someni sana mpate maarifa kupata div 1 au GPA ya 5 siyo dhambi mjisikie fahari, Dunia tunayoiona Leo imejengwa na watu waliofanikiwa kupata maarifa kwa njia yoyote inayofaa

Asitokee Mtu mpumbavu akakutweza na kukudharau kama unaona kusoma na kufaulu vizuri ndo njia pekee ya kupata maarifa. Unayoyahitaji na yanayotakiwa na jamii

Utajiri una miiiko yake unaweza kuwa tajiri ukiamua tu

Hawa wapumbavu hela za madawa ya kulevya ndo waringishia
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Wew hayo magari mbona mabasha wa kiarabu wanatoa ukitoa tigo yako waweza pata

Alafu unakuja hapa kuwakatisha taa vijana Wetu wasiangaike kupata maarifa ya kuendeleza nchi yetu?

Hebu tupia no. yako ya mlipakodi tujue kama unafanya kazi halali
 
Bora kumiliki Passo ila kuwa na akili,hekima,busara, heshima, nidhamu, familia bora, amani ya moyo, upendo wa Mungu na zaidi ukifa uende mbinguni!"
 
Back
Top Bottom