Church Boyy
New Member
- May 18, 2024
- 1
- 1
DaaaahhForm 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677