Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Achilia mbali kufundisha darasani hata kumfundisha mtu mzima kuna muda nashindwa maana sina subira wala kipaji cha kufundisha.View attachment 2497060
Je wewe hii Kazi unaiweza ?:au unadhani kusave laki tano na nusu Hadi Kupata 3Ml bila kukopa ?
Hongera sana mimi nawaheshimu sana walimu maana mnafanya kazi kubwa sana huku mkibeba lawama nyingi