Maisha hayana Maana

Maisha hayana Maana

View attachment 2497060
Je wewe hii Kazi unaiweza ?:au unadhani kusave laki tano na nusu Hadi Kupata 3Ml bila kukopa ?
Achilia mbali kufundisha darasani hata kumfundisha mtu mzima kuna muda nashindwa maana sina subira wala kipaji cha kufundisha.
Hongera sana mimi nawaheshimu sana walimu maana mnafanya kazi kubwa sana huku mkibeba lawama nyingi
 
Huyu alikuwa ana lalamikia wazazi wake ktk nyuzi zake za nyuma, leo ana jipiga kifua...
Uzi mwingine alilalamika mshahara wake wa laki 6. JF 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😄😄😄😄😄
 
Mkuu una sress flan hivi za maisha huenda
1.0 Huna nguvu za Kiume (dhakari haisimami? au manii hazizalishi mtoto
2.0 umeacha na mke
3.0 Una jambo zito limekukumba na unahisi hamna namna unaweza kutoboa
NB: kila jambo lina way out of it ni suala la muda tu
 
Now I'm matured, Hiki kidogo napata nilifanikiwa kusaidia masikini, kusaidia wazazi na kutoa sadaka

Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu. Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafuta Nini. Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi katika Uchafu?

Better die Young than live a slave life. Legacy yangu nimeacha kisima Cha maji ,ndo hicho kisima Cha mil 3 so I'm ready to die nothing else. Mtapata maji, Mtaoga, Mtafua, Mtamwagilia Mboga Mboga zenu. Siachi mke Wala mtoto.
Kaka vipi upo sawa???
 
Haya land kaka wakora waitu!!!Mukama akusimee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mm nimenukuu huu msemo roho imeniuma sana....

"Better die Young than live a slave life"

Wengi tunaishi Slave Life
 
Duu mshahara wa 500K unatumia miaka miaka kusevu 3ML unless uwe haupo serious na ubachofanya
Acha uongo kwa mshahara wa mwalimu au watumishi wengi walio chin ya tamisem huwez save iyo hela kwa mshahara wa laki 5 labda ukope au utumie miaka 4 kusave iyo hela
 
Sadaka ya maji ni nzuri sana,watakunywa binadamu na wanyama..maji ni uhai!
 
Back
Top Bottom