Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Habari wakuu.
Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo.
Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia? Unapiga Moyo konde na kusema Wacha nisonge mbele asee hujafika hatua kadhaa unaskia asee Kuna michango inatakiwa.
Unajiuliza Hawa watu wanajua Mimi naanza kutembea au?
Nabaki natabasamu na kusema
God Is Good All the Time.