Maisha hayataki mchezo

Maisha hayataki mchezo

Ukijifunza kuridhika utakuwa huru, usichukulie maisha siriazi sana
Mkuu hiyo ni kauli ya kimaskini unaridhika vipi wakati huna vile unavyovitaka mkuu?

Wee fikilia Kuna mtu anaridhika na kulipa Kodi ya nyumba ambayo sio yake?
 
Naomba uniunganishe na huyo ndugu yako ili anipe connection ya hayo mambo ya kiroho. Haya maisha bila kujitoa na kujizima data utajikuta unaendelea kuwa pale pale kila siku.
Mkuu haya mambo haya ...
Mi kuna ndugu angu mmoja ni ana mpunga kweli lakini sasa kuna mambo anafanya ya kiroho mmh huwa naheshimu sana watu na pesa zao
 
Naomba uniunganishe na huyo ndugu yako ili anipe connection ya hayo mambo ya kiroho. Haya maisha bila kujitoa na kujizima data utajikuta unaendelea kuwa pale pale kila siku.
Mkuu kabla hujafika huko em Waza Kwa kina juu ya hilo.

Kuna siku niliwaza kufanya tukio kubwa Sana la mambo ya kiroho Kwajili ya utajiri lakini nafsi iliniambia acha upumbavu wewe Ni mtafutaji na sio mshirikina.
 
Wanasema umaskini ni laana Je,unazungumzia vipi Hilo swala Kwa mtazamo wako?


Umasikini sio laana - umasikini unachochewa zaidi na AKILI ya MTU na sio aina ya familia MTU anatoka wala mambo ya kiroho.


Kuna watu baba zao na mama zao wana pesa Ila wao hawana kitu na kila wakianzishiwa miradi wanashindwa kuisimamisha.
 
Life will give you a green light the moment you drop the assertion of god is good all the time until then endelea kuhangaika ndugu
Kaka naomba namba yako ya whatsap kuna issue ya mbuzi ulipost miaka ya nyuma nahitaji muongozo
 
Back
Top Bottom