Roho ya kimaskini.Hela hukaa mahali zinapoweza kutunzwa,
Kuna watu Hela Yao niyakusolve matatizo na sio ya kufanya maendeleo,
Kumudu maisha ni kitu kingine na kuwa Tajiri ni suala la kiroho zaidi,
Wapo wanaojituma ila hawatoboi,
Kama umetoka familia maskini ni ngumu kutoboa it's by his grace you will succeed,
Ngoja niishie hapa.......
Spiritual muscles are more important than physical muscles,Lila siku naongea hilo ...
Kutoka katika poverty chain... Inahitaji sacrifice ya kweli jamani...
Unakita watu tunapambana mno ila end of day tunaishia kuwa na sehemu ya kulala basi
Kuna sehemu ya kulala na sehemu ya kujificha mkuu.Lila siku naongea hilo ...
Kutoka katika poverty chain... Inahitaji sacrifice ya kweli jamani.
Unakita watu tunapambana mno ila end of day tunaishia kuwa na sehemu ya kulala basi
Cc Dizasta Vina kaa la motoAchia Jala Cc Poor Brain Cc ephen_ MAISHA HAYATAKI MCHEZO tumeishia kurithi majina ya ukoo tu
Mkuu haya mambo haya ...Spiritual muscles are more important than physical muscles,
Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu HIVYOHIVYO mwenye Roho yenye nguvu na utajiri, pesa itamfuata,
Put your dreams into practice and he will bless your hard work.
Best song 😎 Ngoma kalii sanaCc Dizasta Vina kaa la moto
Ahahahaha daaah aiseeeKuna sehemu ya kulala na sehemu ya kujificha mkuu.
Hizo sehemu zipo tofauti.