It doesnt work huku kwetu mkuu. Dunia ya tatu kila kitu kigumu. Alaf kwenye mpira umeenda mbali, kuna wachezaji mfano Dele Ali, Kyle Walker, Sterling na Lingard, hawa wana kinyozi wao mmoja huwa wanamlipia hadi tiketi ya ndege awafate walipo. Wakiwa tour marekani anawafata, Australia n.k.... Kwa mtindo huo, unamshauri na mwanao awe kinyozi?Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.
Ushauri;Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula...View attachment 1781677
Wengi tumeacha mpira sababu kutoka mtihani, shida mfumo..
Wachache niliokuwa nao wametoboa, wengi wao wamekwama mtaani.
Usimfananishe mbrazil na mtanzania kwenye soka.. Sisi huku mifumo mibovu, usimuachishe mtoto shule kisa anajua saana mpira, achilia mbali kufika kama tshabalala anaweza aisifike hata kwa ally makarani.
Kodi anakatwa ngapi hapo????Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.
Ushauri; Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula.
View attachment 1781677